mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumng'oa mkewe jino kwa plaizi na kumtoboa jicho afikishwa Mahakamani

    Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini jijini Arusha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha akikabiliwa na kosa moja la shambulio la kudhuru mwili. Mshitakiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Mei 31, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Jenipher Edward. Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa mapacha njiti waliochunwa ngozi ya uso wakamilika. Wanne kufikishwa Mahakamani kwa Uvunaji wa Viungo vya Binadamu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi. Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa...
  4. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara afikishwa Mahakamani kwa kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA

    Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara. Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ajikata uume wake na kuutupa. Akipona jeraha lake atafikishwa Mahakamani kujibu shtaka linalomkabili

    Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua. Kamanda wa polisi mkoa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila kumshtaki Mahakamani Rais Ruto kuhusu vifo vya waumini vilivyotokea Shakahola

    Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  8. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

    Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili. Nikienda kwenye mada moja Kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  10. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    Pole sana Wanawake mnaosubiri mtalakiane na Mme wako afu mdai talaka mwisho mgawane mali. NIMEPENDA HII YA KIJANA (HAKIMI) kama ujaipata ifuatilie...... ume
  11. JamiiForums Tanzania Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

    Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanasheria asema Trump hatafika Mahakamani akiwa amefungwa pingu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023. Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanandoa watimua mbio Mahakamani baada ya kuachiwa huru kwa kesi ya Bangi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajawahi kuupinga mahakamani Uchaguzi wa wabunge 2020, hivyo ni halali kupokea ruzuku

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lisu amesema ruzuku hutolewa kwa Chama kinachopata zaidi ya 5% ya kura zote za Wabunge wa majimbo Lisu anasema kwa mujibu wa NEC CHADEMA walipata takribani 17% ya kura hizo na wakaqualify kupewa ruzuku Sasa ikumbukwe hapa Baada ya Uchaguzi hakuna Mbunge...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

    Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili. Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku...
  18. JamiiForums Tanzania Deus Seif na Abubakari Alawi waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania waigaragaza Serikali Mahakamani

    Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
  19. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa ya Dkt. Mwaka na mkewe kufikishwa Mahakamani

    Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani. Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
  20. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mgombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani

    Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC. Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo yalichakachuliwa. Inadaiwa waliopiga kura ni 28% ya Wanigeria waliojiandikisha huku wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…