Madeleka amendika katika ukurasa wake wa x;
Nataka nimwambie Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), ikiwa ndani ya SAA 24 kuanzia sasa, ATASHINDWA kuwapeleka MAHAKAMANI hao MASHETANI, kwa KISINGIZIO CHOCHOTE KILE, mimi PETER MADELEKA, nitafanya WAJIBU huo kwa FEDHA ZANGU. Hatuwezi kuwa taifa la...
Mimi nipo kuwatetea Watumishi wa Umma. Hawa ni walimu Madaktari, wauguzi, manesi nk. Hawa ni watu muhimu sana katika jamii.
Katika mikataba yao ya kazi kuna kipengele kinachosomeka "Your incremental date will be on July 1st", yaani kila mtumishi wa Umma atapata nyongeza ya mshahara ya mwaka...
Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi
Pia soma: Malisa aripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, ajulishwa kuwa upelelezi haujakamilika
Anatetewa na Mawakili Hekima...
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo.
Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika.
Bwalo hilo lilipangiwa sh...
Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ?
Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
Mwanamichezo Liston Katabazi analiburuza mahakamani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akilidai shirikisho hilo lililotangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka.
Kwa mujibu wa Katabazi ameifungulia kesi TFF katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, yenye namba 14708-2024...
Ameandika Wakili msomi.
👇
"Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.
Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa.
Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
Wasalaam!
Baada ya Mkuu wa wilaya ya ubungo kuendesha zoezi la kukamata watu wanojiuza na wanao daiwa kununua makahaba wilayani humo!
Baadhi yao wamedai kufatwa nyumba za kulala wageni na kwenye vyumba vyao na kukamatwa wakituhumiwa kufanya biashara ya ukahaba uku wakidai kuwa wamesingiziwa na...
Wengi wetu tumejikuta tukishindwa kesi tukiamini Lawyer anaweza kukusaidia mahakamani. Hawa mara nyingi wanajiona wanajua sheria na mwisho wa siku unafungwa.
hivi kwa nini
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na Utalii.
Mpina amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia bajeti ya wizara tajwa kwa mwaka...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
Na Mwandishi Wetu
Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4
Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana...
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki
Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.
Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea
Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...