mahakamani

  1. R

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Najiandaa kumburuza katibu mkuu wa CCM mahakamani kwa kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kugombea urais 2025 kupitia CCM

    Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM ! Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa...
  3. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Polisi wanakukamata halafu ndio wanaanza kutafuta wakufikishe mahakamani kwa kutumia sheria gani!

    Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria? Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
  5. JamiiForums Tanzania Afikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mita za Maji - Kinondoni

    Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya Sh904,277. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa). George amefikishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

    Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt. KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024

    Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria. Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Bila connections au mafungu ya asante utazungushwa kulipwa kwenye kesi uliyoshinda mahakamani ?

    Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo. Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ? Tetesi nilizopata zimenisikitisha, kwamba inabidi utoe asilimia kadhaa 😣😓😔 ili faili lako likimbizwe...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya jengo lililoporomoka Kariakoo kutajwa leo Mahakamani Kisutu

    Kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka Mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa leo Desemba 12, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Washtakiwa katika kesi hiyo, ambao wote ni wakazi wa Dar es Salaam ni Leondela Mdete (49) mkazi...
  10. JamiiForums Tanzania Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo wafikishwa Mahakamani Kisutu

    Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia. Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu...
  11. JamiiForums Tanzania Kanuni (principles) na masharti (conditions) ya kutumia ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) Mahakamani

    Ushahidi wa mazingira (circumstantial evidence) - huu ni ushahidi ambao hautoi uthibitisho wa moja kwa moja wa ukweli wa jambo fulani, bali unategemea mazingira yanayozunguka tukio husika ili kutoa hitimisho. Ushahidi wa kimazingira mara nyingi hutegemea matendo ya mtuhumiwa na mazingira ya...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA na ACT Wazalendo nendeni mahakamani mkausimamishe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kwakua mmekubali kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na kujiingiza kwenye mtego wa kuhalalisha haramu ya CCM, basi nawashauri tumieni mbinu zote halali kudai haki yenu. Nendeni mahakani mkaiombe mahakama mambo yafuatayo. 1. Uchaguzi usimamishwe mpaka kasoro kubwa zilizojitokeza zitatuliwe...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo kufungua kesi Mahakamani kupinga Wagombea wao kuenguliwa, ili uchaguzi urudiwe

  14. JamiiForums Tanzania Dar: Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake afikishwa Mahakamani

    Saleh Ayoub ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni na kusomewa shtaka la ulawiti. Katika kesi hiyo namba Cc 32444/24 iliyotajwa kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, nenda mahakamani badala ya kulalamika huko Kenya

    Kama una ushahidi kwamba ni wanafunzi waliosajiliwa kupiga kura kwanini huendi mahakamani? https://www.youtube.com/watch?v=Pak6q7ktQy4 ========= Tundu Lissu ataka Watanzania kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Naibu Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  18. JamiiForums Tanzania Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) afikishwa Mahakamani, akabiliwa na Kesi ya kujibu

    Kijana Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu kwa jina la Chuma Cha Chuma ambaye ni Raia wa Burundi, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam leo Novemba 05,2024 akikabiliwa na mashitaka ya kuishi Nchini Tanzania bila kibali. Chuma ambaye ni Mkazi wa Mbezi...
  19. JamiiForums Tanzania Straika wa zamani wa Simba, Ali Ahmed Ali “Shiboli” afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi

    Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli) Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar. Mshtakiwa amekata shtaka lake. Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.
  20. JamiiForums Tanzania Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

    RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili. Taarifa hiyo, imetolewa leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…