mahakamani

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

    Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii. Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima...
  2. JamiiForums Tanzania Chadema kuhamasisha watu kwenda mahakamani ni kutumia watu kama ngao, wataumizwa.

    Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mahakamani Kesi ya Uhaini na Uchochezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mh Lissu

    Nitakupa Update zote Kutoka Viunga vya mahakama Hapa Kisutu Kaa Karibu na Uzi huu... -------------------------------- Kesi imeanza kusikilizwa Mbele ya Mh. Hakimu Mhini Mawakili wa utetezi wamefika lakini waserikali na mtuhumiwa watakuwa kwa njia ya mtandao. Muda huu anaonekana kwenye screen...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu? Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wafukuzeni G-55 mara moja, kama ambavyo CCM walimfukuza Mzee Malisa kwa kuhoji úhuni wa Dodoma, halafu tuone Mahakamani watakakokimbilia.

    Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA. Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara. Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

    Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo. Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tegemea 24/04/2025 Tundu Lissu kutoletwa Mahakamani au Jaji kutokomea pasipojulikana

    Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba. Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama isimamishe shughuli zote za kisiasa za chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa. Kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla aburuzwa Mahakamani kwa kauli yake kuwa CHADEMA inataka kununua Virusi vya Mpox na Ebola ili kuzuia uchaguzi

    Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa ''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai. Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya kijinai kwa kuwaambia Watanzania kwamba CHADEMA inachangisha tone tone ili inunue virusi vya MPOX na...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi asuka mipango ya chadema kuvamia mahakamani

  13. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kurudia matapishi yake? Safari hii haitakimbilia Mahakamani?

    Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine. Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mahakamani hamtasikia Lissu akisomewa shitaka la uhaini

    Hilo kosa la uhaini litaishia Polisi , ila mahakamani hamtalisikia. Ikitokea limeingia mahakamani, basi mjue ni swala la muda tu kabla halijafutwa. Hii ni mbinu tu ya kujaribu kumtisha Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA pamoja na umma juu ya kusimamia utekelezaji wa kauli ya NO REFORMS, NO...
  18. JamiiForums Tanzania Harry mahakamani huku mgawanyiko mkubwa katika familia ya kifalme ukifichuliwa

    A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in Britain on a "case by case" basis. "Sidelined" is Metro's headline as the paper touts a "deep royal split...
  19. JamiiForums Tanzania CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12

    Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi

    Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…