mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Msaada wa kisheria: Namna gani nita-file Shauri la kuomba tafsiri ya mahakama kuhusu mgawanyo halali wa Mali ya mirathi?

    Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
  2. Mbunge Pauline Gekul atakiwa kufika Mahakamani Disemba 27, 2023 kujibu tuhuma dhidi yake

    Mahakama ya Wilaya ya Babati imemtumia wito Mbunge Pauline Gekul kufika Mahakamani hapo Disemba 27, 2023 kujibu kesi inayomkabili. Mahakama hiyo imemtaka kufika pasipo kukosa. Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul ameitwa mahakamani, kujibu tuhuma za kumshambulia na kumdhuru Hashim...
  3. M

    Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  4. M

    Tuwape maua yenu Mahakama ya Rufani Tanzania

    Anayestahili kupongezwa basi na apongezwe! Ni jambo dogo lakini nasukumwa kuwapongeza wafanyakazi wa mahakama ya RUFANI TANZANIA hasa kitengo Cha kupokea simu. Kutopokea simu au kutojibu barua za wananchi ni jambo la kawaida Kwa taasisi za serikali Tanzania. Ni KERO kubwa inayoongeza ugumu wa...
  5. Mdukuzi kutoka Uingereza na Nigeria alikana hatia ya ulaghai wa $6m katika mahakama ya Marekani

    Mwanamume mmoja raia wa Uingereza na Nigeria amekiri katika mahakama ya Marekani kudanganya na kuiba zaidi ya $6m (£4.7m) katika kipindi cha miaka saba. Idris Dayo Mustapha, 33, alikuwa sehemu ya wadukuzi waliopenyeza barua pepe na akaunti za udalali za makampuni ya Marekani kati ya 2011 na...
  6. Kenya: Mahakama Kuu yasitisha Ubinafsishaji wa Bandari za Mombasa na Lamu

    Mahakama Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kubinafsisha bandari hizo kutokana na ombi la wakazi wa maeneo hayo wanaodai Ubinafsishaji huo una njama za kutwaa usimamizi na mali za Mamlaka ya Bandari (KPA). Kwa mujibu wa Wafungua Shauri, wamedai mpango wa Ubinafsishaji wa Gati za Bandari...
  7. Kenya: Serikali yashusha gharama za kuhuisha Vitambulisho vya Taifa baada ya Mahakama Kuu kuweka zuio la Kupandisha

    Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu Mahakama Kuu isitishe tangazo la kupandisha gharama za huduma hizo. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara...
  8. A

    Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

    Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
  9. Mahakama kuamua Babu Tale Afungwe au alipe Tsh. Milioni 250 Nov 17, 2023

    Hatima ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale, maarufu kama Babu Tale, sasa itajulikana Ijumaa, Novemba 17, mwaka huu wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dare es Salaam itakapotoa uamuzi wa shauri la maombi ya kumpeleka jela kutumikia kifungo. Babu Tale ambaye ni mmoja wa...
  10. M

    Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

    Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
  11. A

    Mahakama ya Rufaa mfumo wenu mpya ni kikwazo

    Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama kuu mfumo huu haujaanza kuzipokea. Ukienda pale ku file rufaa yako wanakuambia uache namba ya simu...
  12. Mahakama za nchi za Kiafrika ni bure kabisa, hakuna kitu!

    Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa. Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye...
  13. Utafiti wa tamwa Zanzibar wabaini kasoro, ufanisi mahakama maalum ya udhalilishaji zanzibar

    ZANZIBAR SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki hasa kwa kesi zinazohusu watoto ili kuwa rafiki kwa wanaotumia mahakama hizo na kuwezesha upatikanaji wa haki katika...
  14. Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
  15. Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  16. O

    Mahakama yamng’ang’ania baba aliyembaka mwanae

    Mahakama Kuu Kanda ya Songea, imemng’ang’ania dereva bodaboda (jina linahifadhiwa) aliyefanya mapenzi kwa nguvu na mwanawe wa kumzaa akisingizia ni maelekezo ya mganga wa kienyeji na kusisitiza kuwa kifungo cha miaka 30 alichopewa ni sahihi. Tukio hilo lililotokea Machi 13, 2023 katika kijiji...
  17. Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO

    Mahakama nchini Kenya imehalalisha uagizaji na ukuzaji wa chakula cha GMO, hatua hii ikipuuzia kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini humo. Katika uamuzi wake Mahakama ya Mazingira Kenya inasema waliowasilisha kesi hiyo walishindwa kutoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Chakula...
  18. N

    Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  19. A

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…