mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Naomba mahakama ikatae kusikiliza kesi ya Lissu hadi maelfu ya raia kwenye mikutano ya Chadema waunganishwe

    . Kesi ya Malaika Lissu ni ya uhaini. Kwa urahisi wa maneno ni kwa kuzuia mamlaka kuendesha uchaguzi( hisia). Lissu akiwa bado ndani, mikutano ya Chadema inaendelea nchi nzima. Maelfu kwa malaki wameunga mkono hadharani mambo yaleyale yaliyomtia ndani Lissu na sasa anataka kushtakiwa peke...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama DRC kufuta Vyama vya Kisiasa kikiwemo PPRD cha Joseph Kabila

    Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s Party for Reconstruction and Democracy), kinachoongozwa na Rais wa zamani Joseph Kabila. Chama cha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

    Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hekima Haitafuti mahakama bali hutafuta mazungumzo kwa njia ya Amani

    Hekima: Msingi wa Maisha Yenye Amani na Ustawi Katika safari ya maisha, hekima ni nyenzo muhimu inayoweza kuleta utulivu, maendeleo, na mafanikio. Dunia yetu inakabiliwa na changamoto nyingi—migogoro ya kifamilia, kisiasa, kijamii, na hata kidini. Lakini je, tunatafuta suluhisho sahihi kwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Linalowatesa upande wa mashtaka muda huu ni namna ya kujitoa kwenye kesi, panya kashakula vyote ndani ya mtego ila hajui atoke vipi.

    Hadi sasa sababu nzuri za kumshtaki Lissu kwa makosa ya uhaini zinatia shaka na upande wa mashtaka wanaumiza vichwa kutafuta mashiko katika kesi hii ya kihistoria. Upande wa mashtaka walitamani kesi isikiliziwe uvunguni katika chumba cha giza bila Umma kujua kinachoendelea lakini Lissu...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa Bunge la EU kuingilia uhuru wa mahakama zetu lakini si sawa AG wetu kufanya hivyo? Kisa ni hizo USD 170 million kwa mwaka wanazotupa

    Kwa tu misaada yao kwetu ambayo ni kiduchu sana kisichofikia hata TSH trillion moja kwa mwaka, hizi nchi za EU zinatuhesabu sisi bado ni koloni lao na maamuzi ya mahakama zetu zinapaswa kufuata maelekezo yao. Hawatambui sovereign yetu. Rais wetu alishawakemea kuhusu jambo hilo. Hata rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mahakama Kesi ya Lissu: Uthibitisho wa Umuhimu wa TLS kama " Shadow 4th Organ of the State"

    Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameamua kugoma kula ili kushinikiza hukumu ya mahakama badala ya kukata rufaa. Madhara ya kutokula au kunywa yatakayompata haya hapa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  9. JamiiForums Tanzania Hukumu ya mahakama mtuhumiwa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

    Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kushitakiwa kwa uhaini, CHADEMA wafunguliwa kesi, na mojawapo ya madai ni CHADEMA isimamishwe na mahakama kufanya shughuli za kisasa

    Vita bado ni kali, ila hawatashinda. Katika kesi hiyo, walalamikaji ni baadhi ya viongozi wa bodi ya wadhamini wa chama wakiwa na jumla ya hoja 7 wanazotaka mahakama izifanyie kazi mojawapo ikiwa ni kuiomba mahakama isimamishe kwa muda CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Taarifa hii...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kibatala awataka wanachama wa CHADEMA kuiacha mahakama ifanye kazi yake bila maingiliano

  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa Talaka, mume anaruhusiwa kumrudia mkewe?

    Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!? Nawasilisha
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bungeni, Maamuzi ya kusikiliza Kesi ya Lissu kwa njia ya Mtandao yanafanywa na Serikali na sio Mahakama

    Kila siku huwa nasema, Viongozi vilaza tunaopatiwa na CCM na mifumo yake ndio wanaolighalimu hili Taifa na hadi sasa linakufa Watanzania tukishuhudia kwa macho yetu. Kwa akili ya kawaida tu bila hata kusoma Sheria, huwezi tegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzungumzia suala la kesi ya Tundu...
  16. JamiiForums Tanzania Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama yamwamuru kuachia ofisi ya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Saleh Alarmy kwa kushindwa kesi

    Licha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya Biashara, kuamuru kufutwa kwa hisa asilimia 18 zilizokabidhiwa kwa Daudi Ibrahim Lumala kinyume na utaratibu, pamoja na kufutwa kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Sunset Tarangire Limited, Lumala bado ameendelea kuwepo ndani...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama za Tanzania ni majukwaa ya maigizo

    Mambo vipi? Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
  20. JamiiForums Tanzania Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…