mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Orodha ya Maadui wa CDM

    Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako. Ongeza orodha
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali eneo takatifu la Mahakama kugeuzwa na Chadema kuwa ulingo wa siasa, dini na vurugu

    Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
  3. JamiiForums Tanzania Anayemfokea mtumishi wa mahakama anapaswa kuadhibiwa

    Mahakama inatakiwa kuheshimiwa na isigeuzwe kama klabu cha pombe. Kuna video clips zinamuonesha mtu mmoja akifoka na kuwatishia watumishi wa mahakama. Nitashangaa sana kama ataachwa free na hatimaye hii ikageuka ndio utamaduni. Ipo siku mtu ataibiwa halafu wakati wa kesi vibaka wakaambizana waje...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  5. JamiiForums Tanzania Majaji Mbuzi wa Mahakama kuna ujumbe wenu hapa

    GT Hii taarifa iwafikie majaji mbuzi wote.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana

    Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Serikali: Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu

    "Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session 19605/2025 ambayo ni shauri la Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.." amesema Wakili wa Serikali.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama tusaidie kuifuta kesi Mahakama Kuu Mbeya ili October, 28, 2025 kwa raha zetu Tunatik!kwa

    Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
  12. JamiiForums Tanzania Zijue Star Chamber Courts: Mahakama za siri na mantiki zake kisiasa dhidi ya Tundu Lissu

    1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na utaratibu wa kusikiliza mashauri ya kipekee kwa siri (closed-door trials), hasa yale yaliyohusu masuala ya...
  13. JamiiForums Tanzania Aibu kwa Mhimili wa Mahakama: Kutoka kutumiwa kama kielelezo cha Utetezi wa Haki hadi kutumiwa kama kielelezo cha kuminya Haki

    Miaka ya 2000 hadi 2012 tuliofanikiwa kwenda kwenye Makongamano mbalimbali ya Masuala ya Haki, Afrika na Duniani kwa Ujumla tulikuwa tunaona ufahari mkubwa kujitambulisha kuwa tunatokea Tanzania kutokana na Maamuzi makini yanayotetea Haki za Binadamu na sanity kwenye Utawala wa Sheria yaliyokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF. Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha. UTANGULIZI Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kesi ya ya Lissu wanasheria na wanaharakati waipeleke mahakama za kimataifa

    Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo. Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa. Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania Mimi sio...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanganyika LISSU ananyanyaswa na Rostam Aziz ,Vyombo vya Dola Hususani Polisi , Mahakama viko mfukoni mwake

    Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
  20. JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…