magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Pigo tulilolipata baada ya Rais Magufuli kufariki, tujifunze

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa jina la Jamhuri kazi iendelee. Naomba kutoa Mambo ambayo nimeyabaini 1. Rais Samia amekabidhiwa nchi huku akiwa hafahamu aanzie wapi na aiishie wapi 2. Marehemu Magufuli hakuwa anamshirikisha kama makamu wa Rais alijiamulia peke yake 3. Dhana ya mwanamke si lolote...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

    Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tozo hizi za awamu ya sita hazina tofauti na tozo za Bodi ya Mikopo zilizoongezwa karibu mara mbili enzi za Magufuli

    Jamani tuache unafiki wa kusema eti tutamkubuka Magufuli kutokona na tozo hizi za awamu ya sita kwani huu ni muendelezo tu wa sera za CCM kukamua wananchi bila huruma. Wote ni mashahid wa makato katili ya Bodi ya Mikopo wakati wa utawala wa Magufuli ambapo makato yaliongezwa kutoka asilimia 8...
  5. JamiiForums Tanzania Kulipa kodi ni maendeleo

    Ndugu wanabodi, Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo Niseme machache! Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi Kodi ndio tunaona mabarabara, vituo vya Afya, watumishi kupandishwa madalaja, madarasa, Elimu Bora...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Urithi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

    Kuna watu humu naonaga wanaumia kuhusu urithi (legacy) ya Magufuli mpaka wanajenga hoja eti inalazimishwa kwa nguvu. Mi nawaambiaaga ni watu wenye akili kubwa tu tunaoelewa urithi wa Magufuli. Haya muoneni na huyu Rais wa Shelisheli, naye ameungana na akili kubwa waliomuelewa Magufuli. Au...
  7. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Magufuli mwingine aje kushughulika na kilimo Tanzania

    TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA. Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania 🇹🇿 yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about...
  8. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

    Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli. Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake. Kuna minong'ono...
  9. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Ametanua uwanja, ana mengi ya kuyathibitisha. Porojo hazitatosha kumnasua!

    Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ameanza kujitetea kwenye kesi yake ya jinai yenye sura ya uporaji, kujeruhi na kutesa. Soma hapa >> Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu Utetezi wake, kadiri...
  10. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad. Akiongozwa na wakili Mosses Mahuna...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la Polepole linadhihirisha hata Rais afanye nini ni vigumu kuwavutia team Magufuli

    Niongezee kidogo..... Swala la gazeti la Uhuru kusema Samia hatagombea nazani ndio hisia na takwa halisi la mfumo ulioachwa... Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu. Nilisikia...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona hamna nafuu, Manji aamsha popo

    Mfanyabiashara Yusuf Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kisha kuachiwa kwa dhamana. Taarifa zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Profesa Lumumba alikuwa akimsifia Hayati Rais Magufuli?

    Na Thadei Ole Mushi. Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo nitawapitisha katika eneo Moja tu la kwa Nini huwa wanaona Mh Magufuli ni Rais Bora wa kipindi hiki...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi tumeanza kumkumbuka Magufuli. Wananchi wanatapeliwa viwanja na maeneo yao kwa watu wanaojiita Wawekezaji

    Habari wadau! Hali sasa imekuwa mbaya sana, wananchi wamekuwa wakitapeliwa maeneo yao kupitia hawa wawekezaji ambao kipindi cha JK walisumbua sana lakini alipoingia madarakani Magufuli walijificha kama hawapo na wakatelekeza maeneo yao kama hawayajui. Ndio Rais Samia Hassan ameruhusu...
  15. JamiiForums Tanzania With all his mistakes, magufuli not just a covid skeptic president!

    WITH ALL HIS MISTAKES, MAGUFULI NOT JUST A COVID SKEPTIC PRESIDENT! It has been four months this the departure of the most consequential and controversial president in Tanzanian history. Like many, I received the news with shock, and it took me a while to adjust, accept, and in turn reflect...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona ni matokeo ya kivuli cha Hayati Magufuli kinachoishi

    Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi. Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Kauli ya Hayati Magufuli kuhusu Chanjo inapotoshwa

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema kauli ya hayati Dk John Magufuli kuhusu chanjo inapotoshwa kwani hakusema watu wasichanje ila kuwe na umakini kutokimbilia chanjo bila kujiridhisha. Waziri Gwajima ameyasema hayo leo Jumatano Julai 29, 2021...
  18. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

    Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale. Hata kama tumeongeza Mtwara bado hapa hatuwezi kutanua zaidi, tunataka tuweke utaratibu wa bandari ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

    Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni. Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…