magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

    Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo? Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla bado wanaendelea kumkumbuka Rais Magufuli

    Ama kwa hakika. Kizuri hakidumu. Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi. Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi. Tunakukumbuka sana Mkuu.
  3. JamiiForums Tanzania Don't switch off, internet is now a human right

    By Simon Mkina Every time governments turn off the internet, they use one of these five arguments to grease -up the real intention; it is a matter of national security; elections must be protected; violence must be avoided; cheating must be prevented, and the spread of false information should...
  4. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea mtoto wa kumzaa mimi afanye kosa halafu nishindwe kumuadhibu

    Niwapongeze wanaume wa Kanda ya ziwa ama hakika Mungu alituumba vilivyo na kutubaliki. Sina maana vidume wa mikoa mingine ni Walegevu ila kiukweli mwanaume wa Kanda ya ziwa hawezi fananishwa na mikoa mingine. Najua mtanisi ila kwetu sisi ni jambo la aibu kubwa sana mtoto wangu niliyemzalisha...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta, Arap, Kibaki, Kenyatta, Arap - huu ukiritimba wa Uongozi ndio hayati Magufuli alipambana kuufuta!

    Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile. Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo. Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana. Mungu wa mbinguni akubariki sana.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia tupia jicho kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, Mbezi

    Kwanza nianze kukubaliana na walio wengi kuhusu kupanda kwa gharama za maisha kupita kiasi kutokana na sababu mbali mbali hasa zile za kiulimwengi hususani tokea mlipuko wa corona na sasa vita vya Russia na Ukraine Ikumbukwe pia baada tu ya kutangazwa bei mpya za mafuta bei za vitu pamoja na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya unatukumbusha mtanange wa Hayati John Magufuli vs Edward Lowassa

    Odinga atapata kura sio zaidi ya milioni 8. William Ruto kura si zaidi ya milioni 6 Ndivyo itakavyotokea. Hata kwa akina Magufuli vs Lowassa ilitokea hivi. Lets wait and see!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi aliouanzisha Hayati Magufuli umeuathiri sana Mkoa wa Manyara

    Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri wakati mikoa mingine wakipelekewa maendeleo. Mwanzoni sikuamini, lakini sahivi ndio nimeamini ile kauli...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe makarani wa Sensa hamjalipwa hata Senti tano mpaka leo

    Hongereni kwa kazi nzuri makarani mliopo ktk semina ya Sensa japo nasikia hamjalipwa hata thumni mpaka Leo lakini mmekuwa wazalendo kweri kweriii. Yes pigeni kazi ndugu zangu kwa bidii taifa litajengwa na watu wenye moyo. Tunakumbushana tuu kuwa pamoja na kuwa wakati wa Magufuli tuliambiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Kikwete ambaye 'comfortably' ameweza kuwakutanisha 'mahasimu' Odinga na Ruto, ila mwaka 2020 alishindwa kuwakutanisha Magufuli na Lissu

    Halafu wenye akili kuwazidi tukiwa tunasema hapa hamna mtu bali kuna Profesa wa unafiki Tanzania nzima mnasema tuna chuki nae binafsi, tunatumika au ni wadini na wakabila. Mliokuwa wavivu wa kufikiri na mnaompenda mnamuita mwamba wa siasa na diplomasia. Hivi inaingia akili mwamba na bingwa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nukuu ya Baba!!Watanzania tumejifunza Usaliti practical nyakati za Magufuli na Sasa!!

    Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu wamekuwa wasaliti wakuu kwa maslahi yao na vizazi vyao,Kwa Siasa za Tanzania Ukitaja Neno Magufuli...
  14. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Musa na Firauni: Tulimuona Raisi Magufuli “mshirikina” katika Suala la Uviko-19 na Sasa tunamuona “mama” Mwanasayansi katika suala la Mafut

    Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya uchawa basi ni uchawa wa kishamba sana. Nina jambo nataka tufichuane akili. Tupeane Mangwa. Tusadiane...
  15. JamiiForums Tanzania Tulimuona Raisi Magufuli “mshirikina” ktk Suala la Uviko-19 na Sasa tunamuona “mama” Mwanasayansi ktk suala la Mafuta

    Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya uchawa basi ni uchawa wa kishamba sana. Nina jambo nataka tufichuane akili. Tupeane Mangwa. Tusadiane...
  16. JamiiForums Tanzania Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
  17. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Rais Magufuli Kamwe Asingekubali Haya Yatokee

    1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba. 2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Nchi hii wananchi walio wengi huamini kuwa mwanasiasa hupigania maslahi yao ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti sana. Kipindi cha awamu ya tano kweli kulikuwa na mapungufu ya kiuongozi kama pia ilivyo sasa maana haiwezekani uongozi ukawa kamili kwa asilimia mia! Mfano ni Zitto Kabwe kipindi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

    Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe! Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk! Chegeni alipopigwa chini kwenye ubunge alijua adui yake ni Magufuli bila kujua kuwa Chegeni CV yako ya...
  20. JamiiForums Tanzania Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

    Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE. Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…