magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, kama Makamu wa Rais, SSH alibariki kila alichofanya Magufuli!

    Kwa kweli utetezi mwingine hata hauna maana...eti kama makamu wa Rais hakuwa na chochote cha kufanya zaidi ya kuwa mtiifu kwa Magufuli! Wapo wanaoenda mbali na kudai eti yako mengi hakuyaunga mkono ila ilibidi akae kimya ili yasimkute yaliyowakuta waliojaribu kumkosoa Magufuli! Hata hivyo kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Chanzo: mwananchi_official Sasa kama kumbe unamchukia na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

    Habari ndugu zanguni. Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda. Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa kukatika ovyo kwa umeme kunavyotutesa tutake tusitake tutamkumbuka Magufuli

    Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana. Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke Magufuli, maana...
  8. JamiiForums Tanzania Ni lini Makamu wa Rais wa Hayati Magufuli alimkana Magufuli ili awe Tofauti na Dkt. Bashiru nyakati za Magufuli?

    Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo. Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tulionya umeme wa maji sio wa kutegemewa, Hayati Magufuli akatia kiburi, leo tuna mgao

    Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini. Lakini watu wakatia pamba masikioni na kutekelekeza mradi wa gesi uliokuwa umegharimu mabilioni tayari. Hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi. Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mambo yaende. Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

    Hayati Magufuli alikuwa akijitabiria kifo mara kwa mara, je alijua kwa kutetea maslahi ya nchi ndio ingekuwa mwisho wa uhai wake?
  12. JamiiForums Tanzania Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angekuwepo hai asingekuwa amekopa hata senti 5 kwa hii miezi 18

    kama nchi tumerudi nyuma Sana mikopo imekuwa mingi sana Magufuli alikataa huu mkopo wa Corona
  15. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

    Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako. Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi, Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  17. JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

    Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais Magufuli, akaniambia uko wapi nikamwambia Mikocheni akasema kaa hapo hapo namwagiza mtu aje...
  18. JamiiForums Tanzania Kama mbingu ipo Pompeo na Hanspope wako wanazichapa ngumi kavukavu huko mbinguni

    Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
  19. JamiiForums Tanzania Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

    Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini. Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
  20. JamiiForums Tanzania Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

    Salaam Wakuu, Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua. Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi. Wanyama wa Serengeti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…