magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

    Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli. Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge. Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.
  2. JamiiForums Tanzania KERO Dar: Baadhi ya watoza ushuru Stendi ya Magufuli sio waadilifu, wanatengeneza mazingira ya kutorejesha chenji

    Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa mara kadhaa nimekuwa nikienda Stendi ya Mbezi Magufuli (Magufuli Bus terminal) nikiwa nasafiri au...
  3. JamiiForums Tanzania Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  4. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Legacy ya Magufuli ya mwaka 2019 na 2020 kwenye uchaguzi itaendelea kutumika kama kitabu kwa watawala wa CCM

    Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tuWatendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua...
  6. JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  7. JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mwalimu Nyerere kwa kutuletea Mzee Mkapa. Sina uhakika ni nani alisuka Mpango wa Magufuli, ila alitufaa sana

    Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo . 1. Hayati Benjamin Mkapa Aliamini ukiwa na Taasisi zilizo imara basi utaweza kuwa na uchumi na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchafuzi wa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024 umeuzidi ule wa Magufuli wa 2019

    04 November 2024 Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina maana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

    Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
  10. JamiiForums Tanzania Food4Thought: "The Magufuli Era: Transformation and Tension in Tanzania"

    "The Magufuli Era: Transformation and Tension in Tanzania" "Remember me," (00:31 - Siku moja mtanikumbuka.) pleaded Tanzanian President John Magufuli in his final public address in February 2021, just weeks before his death (Reuters, February 24, 2021). These words would prove prophetic, as his...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

    Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita. Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa ajali Hayati Magufuli aliwahi kumtumbua Waziri

    Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku. Inaniuma sana kusikia karibia kila...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  15. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Baraka Magufuli? Nimemkumbuka sana!

    Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli. Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli, Wafikia Asilimia 93

    RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na kusalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kusalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli Mkoani Mwanza Wilayani Misungwi. Ambapo Mama Mzazi huyo wa Mama Janeth Magufuli ameonekana kuwa mwenye furaha,tabasamu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli, ujenzi wafikia 93%

    Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa KM 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza, Oktoba 13, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

    Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
  20. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hayati Magufuli alishinda uchaguzi 2020, vijana jitokezeni kujiandikisha na kupiga kura

    Habari JF, Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura yake haiwezi badili chochote CCM itashinda. 2020 ukiachana na upande wa ubunge ambako hayati Magufuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…