magufuli

  1. T

    JamiiForums Tanzania Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni kilio kwa Upinzani nchini

    UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF. Kubwaga manyanga kwa wabunge na madiwani wa vyama hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli ni ishara tosha kwamba, Serikali ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

    Leo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi. -Ukweli Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

    Juzi baada ya Rais John Magufuli kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambayo yalimtupa nje aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba kila mmoja alisema yake, lakini jana, mkuu huyo wa nchi aliweka kila kitu hadharani kwa kutaja sababu 13 za kuchukua hatua hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua umeme wa gesi asilia Kinyerezi II, asema ataendelea kushirikiana na wananchi kulinda amani

    Rais Mhe. Dkt. John Magufuli leo atazinduzi mradi wa uzalishaji wa umeme kwa kutumia gesi asilia (Kinyerezi II) Jijini Dar es Salaam. Mradi huu utaingiza megawatts 240 katika gridi ya Taifa. Matangazo ya moja kwa moja yatarushwa na TBC 1 & Azam Two kuanzia saa 3:30 asubuhi hii...
  5. JamiiForums Tanzania What went wrong with The Economist?

    What went wrong with The Economist? I first encountered The Economist magazine as an undergraduate at the London School of Economics in the early 1960s. Richard Lipsey and Lord Robbins recommended it to me. It opened my eyes and I loved it. It tried to depict the world according to economic...
  6. JamiiForums Tanzania WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yatoa sababu ya kucheleweshwa kwa mradi wa Dege ECo Village wa Kigamboni

    Mkurugenzi mkuu wa NSSF, Godius Kahyayara amesema mradi huo umeshatekelezwa katika awamu mbili Dar es salaam. Mvutano wa hisa kati ya Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio, umeelezwa kuwa chanzo cha kuchelewa kwa mradi wa nyumba zaidi 7,000 zilizopo eneo la Dege Beach...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania’s anti-corruption government is stifling the “Swahili Wikileaks”

    Africa SUSPENDED REALITY Tanzania’s anti-corruption government is stifling the “Swahili Wikileaks” Abdi Latif Dahir December 12, 2017 Not so rosy presidency. (AP Photo/Khalfan Said) Dar es Salaam Maxence Melo is a man who knows the insides of Tanzania’s courthouses all too well. In...
  9. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

    Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village, ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' ulisimama mwaka 2016 huku ikiripotiwa kuwapo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo. Cha kufahamu ni kwamba sasa anatafutwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Stiegler Dam, Taasisi za Kimataifa Vs. Magufuli

    JOHANNESBURG – The United Nations has called it one of Africa's biggest remaining wilderness areas. Now a dispute over a planned hydropower dam in Tanzania's Selous wildlife reserve pits the country's president against conservationists who say the project could cause irreparable damage to the...
  11. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli...
  12. JamiiForums Tanzania Hata Kusimamisha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Rais Magufuli aliokoa Taifa

    Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania. Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Habari waungwana, leo Rais John Magufuli anaapisha watu kadhaa na miongoni ni teuzi iliyozua rapsha ya wizara ya habari, sanaa, utamaduni na michezo ambayo ilimuondoa Nape Nnauye kwenye nafasi yake huku timing ikileta mjadala. Nafasi hio inachukuliwa na aliyekuwa waziri wa katiba na sheria, Dkt...
  14. JamiiForums Tanzania Dege Eco Village Project, nini hatma yake?

    Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu mradi huu wa NSSF upigwe stop, tayari ulishagharimu mapesa mengi mpaka hapo ulipofika lakini umeishia kuhifadhi panya, nyoka na kenge, Nini hatma yake? Lini utakuwa resumed au ndo mpaka uchunguzi ukamilike?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

    Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa mabalozi 15 kujaza nafasi zilizowazi
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Kwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali itawasaidia pale waliposhindwa. Mkuu anasema mtu ukuta umedondoka, anataka asubiri serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo. Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Anaeongea kwa sasa ni Rais John Magufuli baada ya kukaribishwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein na anazungumzia amani. Anasema mtu hawezi kuja kuwekeza Pemba wakati watu hawasalimiani, anasema mume na mke wakiwa hawaelewani kwa sababu ya vyama vya siasa hajui usiku wanalalaje. Amesema anajua...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dr. Modestus Kipilimba

    RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kipilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa. - Anaapaishwa leo mchana. Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…