magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Je Magufuli aliwafanya wanamtandao kutoka kuwa wanasiasa hadi kuwa genge?

    Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo. Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo...
  2. JamiiForums Tanzania Polepole, Mpina na Hayati Magufuli ni kundi la itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Hawa ni wale wanaotembea na kufuata itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere. Hawa hawawezi kupendwa na kundi la makabila, mabepari, na wezi wa mali ya umma. Kundi hili liliweza kutawala 2015 hadi 2020 baada ya kundi la makabila kusinzia, ila hawatasinzia tena.
  3. JamiiForums Tanzania Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?

    Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliwaogopa wanamtandao kutengeneza Katiba Mpya

    Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa. Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msidanhanyike: Nchimbi kaongea baada ya Polepole kusema wakati wa Magufuli chama kilikemea utekaji

    Sijasikiliza hiyo clip yote ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu, kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao(CCM) kilipswa na kinapaswa .kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa mimi huo ukemeaji naona ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole: Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa

    Kipindi cha Magufuli ulikuwa ukitazama picha yake ukajisikia kwenye mafaili ujamaliza kusaini ambapo nidhamu ilikuwa kubwa, kama ulikuwa ujasikiliza watu utakimbia kusikiliza watu
  7. JamiiForums Tanzania Polepole: Mkapa na Magufuli walikua na Bond kwakua wote waliingia Uraisi wakiwa na Deni kubwa la awamu ilopita

    Mh Polepole The Intelligent anazidi kuwafumua Wahuni kwa Uthubutu, Uzalendo na Uwezo wa hali ya juu sana. Muda huu naondoka Hapa, Mh Polepole anakiri kua Hayati Mkapa na Hayati Magufuli walikua na Bond ilotokana na Mazingira mabaya ambayo Kila Mmoja aliyarithi kutoka Kwa Serikali iliopita.
  8. JamiiForums Tanzania Magufuli anafariki Mashariki, Traore anaibuka Magharibi. Burkina Faso inapepea mwendo wa Ngiri mkia juu

    Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi wa chini katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Magufuli alileta Elimu bure jambo lilionekana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jesica Magufuli unatuma ujumbe gani Chadema?

    Chadema wanajisikiaje kuona mtoto wa Hayati Magufuli akishinda kwa kishindo kwa kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa viti maalumu kupitia kundi la vijana? Ikumbukwe Chadema waliongoza kampeni ya kumchafua Rais Magufuli kuwa hafai na alirudisha nyuma Tanzania miaka 100 kwa maendeleo! Kitendo...
  10. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  12. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge

    Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
  13. JamiiForums Tanzania JESCA NI MAGUFULI MTUPU

    Ahsante sana mama kwa kuonesha "utu" kumkumbuka "rafiki yako katika kazi" Kwa uzee wangu, nimeona umetekeleza wosia wa wazee wetu wa kale "Kama ulikuwa unawatembelea wazazi wako wakiwa hai (kijijini) kwa kuwasalimu na kuwapa zawadi basi endelea na utaratibu huo hata watakapo kuwa wameondoka...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli Atakata Kwa kushika nafasi ya Pili Nyuma ya Ng'wasi ,huku Halima Bulembo Aking'ara nafasi ya tatu Ubunge Viti Maalumu vijana Bara.

    Ndugu zangu Watanzania, Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
  15. JamiiForums Tanzania Uwa najiuliza majizi na mafisadi ya nchi hii ambavyo yalikuwa yakimpigia kelele Magufuli lakini sasahivi yapo kimya Nini kimebadilika?

    Uwa najiuliza majizi na mafisadi ya nchi hii ambavyo yalikuwa yakimpigia kelele Magufuli lakini sasahivi yapo kimya Nini kimebadilika? Mafisadi Kama Msongola &.com nini kimebadilika ? Magufuli alisingiziwa tu Ukiangalia Magufuli alimkataa kabisa Makonda kwa kujuwa huyu mtu dunia inamtambua...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli: Nitakuwa sauti ya vijana na kuwatetea

    Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani nafasi mojawapo kati ya sita zinazogombewa upande wa Tanzania Bara. Jesca ni msomi mwenye Shahada ya...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

    Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM. Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
  18. JamiiForums Tanzania Hayati John Magufuli akiingia ofisi za chama - CCM kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea u - Rais kwa awamu ya pili mwaka 2020

    https://youtu.be/IE9sYQ6WgE0?si=C66gZnDjjqoCBh1k Hii ni hatua muhimu ta kwanza ndani ya chama iliyofanywa na Hayati Rais Magufuli alipokuwa anakiomba chama chake CCM kimteue kugombea u - Rais wa JMT kwa awamu ya pili mwaka 2020... Huyu Samia Suluhu Hassan achilia mbali kuwa yeye ndiyo itakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama the Late Magufuli angekuwa hai , na ningepata access ya kuonana naye , ningemuuliza alimaanisha nini hapa hii siku

    Ningetaka tu nimuulize alimaanisha nini aliposema "ku trape" "simu zake" . Au kama alimaanisha "ku tape " " simu zake". https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=JzuSX3JoPcn6_H7R Huenda alimaanisha " phone tapping" ile kusikiliza maongezi ya simu kwa siri. Na basi kama ni hivyo " Ningemshauri...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi, John Kijazi alifariki tarehe 17 Februari, mwezi mmoja baadaye akafariki Rais Magufuli

    Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma. Mwezi mmoja baadaye, mauti yakamkuta rais John Magufuli tarehe 17 Machi 2021. Some say that the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…