magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Mabasi yasijifiche kwenye uchache wa nafasi magufuli.

    Wanakwepa kodi ya serikali Hongera Albert Msando na Albert Chalamila .....
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania

    Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania. Katiba Mapya Ubinafsi Ukabila udini Ubara na Unzanzibari Uchawa Utekaji Rushwa Kutengeneza undugu kufanya vyombo vya usalama viwe vya kichawa Kuingiza ufalme na umalikia Nchi jirani za Zambia , Kenya, na wengine...
  3. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi warejea Magufuli Terminal

    Inaelezwa kuwa huduma ya Usafiri wa Mabasi (Mwendokasi) ya abiria kuingia na kutoka Stendi ya Magufuli imerejea na hivyo kupunguza usumbufu uliotabiriwa kwa wateja walio mbali na kituo hiko.
  4. JamiiForums Tanzania Chalamila zitambue kero za Magufuli Terminal, kisha zitatue

    Kitu kinachokera na kufanya nisipende kutumia stendi za mabasi za umma kama Magufuli Terminal, ni mpangilio mbovu na vurugu. Serikali imetumia mabilioni ya pesa kujenga stendi zenye miundominu ya kisasa na muonekano wa kimataifa lakini siasa za kijinga zinafanya hizo stendi ziwe kama magulio ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mabasi yote yaende Stendi ya Magufuli, kama huwezi ondoka Dar Es Salaam hupawezi

    Duniani kote majijini kuna maisha ghali sana. Sio kila mtu anaweza kumudu gharama za kuishi kwenye majiji. Kilichokuwa kinafanywa na wamiliki wa mabasi ya mikoani ni kulazimisha watu wenye uwezo mdogo kuishi DSM waweze kuishi DSM kwa gharama ndogo. Yaani wanamrahisishia mtu atoke na kifurushi...
  6. JamiiForums Tanzania BAADA YA KUMALIZANA NA MAGUFULI BUS STAND,,SAFARI IENDELEE MPAKA KWALA DRY PORT.

    NYOOSHA MAMBO,FOLENI ZIONDOKE MIJINI, INSHALLAH... -Shughuli zote za uhifadhi wa makasha ya mizigo au dry port ni vyema zote zikaamia kwala,ili jiji lipumue!...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu alipogombana na Magufuli alikuwa anawatetea Barrick Gold

    Lissu alikuwa mwanaharakati maarufu aliyewatetea wanyonge. Alipata mafanikio makubwa Rufiji alipofanikiwa kumzuia mwekezaji tapeli asiwadhulumu ardhi wanavijiji wengi . Halafu tena katika mgodi wa Bulyankhulu aliwatetea kwa mafanikio wachimbaji wadogo wengi waliokuwa wanaonewa. Nineona ni vema...
  8. JamiiForums Tanzania Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli. Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  10. JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  11. JamiiForums Tanzania Video: Stendi ya Magufuli ilivyojaa Mabasi baada ya tangazo. Yagezwa Parking ya Mabasi

    Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la mabasi yote kuanzia na kumalizia safari katika kituo hicho, agizo ambalo utekelezaji wake ulianza...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi kulazimishwa warudi Magufuli ni hujuma: lengo SGR ipate wateja na kutafuta mapato stendi kuu

    Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi; Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi Kabwe aliyetumbuliwa na magufuli kwa ufisadi kupitia Stand, Sitaki kugusia makando kando ya uendeshaji...
  13. R

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
  14. JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli ameondoa bandari ya Kwala imerudi mjini na kufanya Mji wote kuwa sehemu ya kuweka Makontena

    "Kuku mmoja anayetaga mayai ya dhahabu ni bandari ya Dar Es Salaam. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha hakuna usumbufu kwenye mizigo, kwanza unawatengenezea watu barabara za uhakika kutoka Bandarini. Magufuli alianza kujenga bandari ya Nchi kavu Kwala kwamba mizigo yote itoke bandarini iende...
  15. JamiiForums Tanzania Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena, kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri

    Habari wakuu Mimi si mnazi, Wala Sina DNA za siasa ila naamini kabisa Magufuli akifufuka Leo, atakufa tena kulingana na Yale aliyoyaacha na yanayojiri🙌🙌💔 Wengine watakuja na hoja Vipi kuhusu Nyerere?! Ila ikitokea Nyerere kafufuka basi atashangazwa na maendeleo tuliyonayo Leo kama taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Falme za Israel agano la kale zilikumbukwa Kwa mema au mabaya yaliyotendwa; ndivyo Samia na magufuli watakavyokumbukwa.

    Utawala wa Samia una damu kubwa sana ya watanganyika Kuanzia waliotekwa mpaka waliouwawa 29octoba2025 hivyo utawala wake utakumbukwa kama utawala wa mwanamke muovu kuwahi kutokea katika taifa letu. Na pengine mwanamke muovu zaidi afrika.
  17. JamiiForums Tanzania Mfahamu Geoffrey Mosiria, Magufuli wa Jiji la Nairobi

    Hivi karibuni ameibuka mtu mmoja nchini Kenya anayefahamika kama Geoffrey Mosiria. Huyu ni kiongozi wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na namna anavyotekeleza majukumu yake kwa vitendo, jambo ambalo wananchi wengi wanaona ni tofauti na baadhi ya viongozi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania DOKUMENTARI - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho

    02 Agosti 2026 Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c 🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa nani, na ni nini hasa kilitokea katika siku za mwisho za maisha yake? Makala hii inachunguza maisha...
  19. JamiiForums Tanzania Mwandishi Khalifa Said: Tupo kwenye kipindi kibaya sana kwa sasa zaidi ilivyokuwa wakati wa Magufuli

    Waandishi wanahali ngumu. Wanafanya kazi kwa hofu.👇
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…