Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo.
Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...