02 February 2023
Dar es Salaam, Tanzania
Waomba mamlaka kuigilia kati, kampuni inayosimamia huduma ya jengo la ghorofa
Kuna matatizo ya kuhudumia ghorofa lenye floor 9 ambalo watu wamenunua apartment. Lift hazifanyi kazi, Bill za umeme anayesimamia jengo hapeleki TANESCO, pia service charges...
Mapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10.
Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo:
1. Dar es Salaam-32,219
2. Arusha-7,180
3. Tanga-4,282...
Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake.
Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay.
Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira .
Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
Wakuu habari? Nina imani wiki imeanza vyema kwenu.
Nimekuwa nikijizuia kuleta hii mada hapa kwa muda mrefu lakini nakosa amani sana.
Kuna tatizo linakuja huko mbeleni kwenye majengo kama hayatatuliwa mapema.
Kwenye harakati zangu za kutafuta maisha kama kibarua wa ujenzi nilikutana na hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.