Wakuu kwema?
Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi
Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu
Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika.
Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
Chini ni video mbili ya maghorofa ya ki fahari. Yote yako sokoni, kwenye mitaa ya kishua na fully furnished.
Video ya kwanza hapo chini ni ghorofa liko Mbweni JKT ambalo liko sokoni Kwa shilling za kitanzania 1.3 Billion.
Video ya pili chini ni ghorofa liko Ngong Alkeri Nairobi kwenye gated...
Nasemea kwa mfano china plaza..
Ubungo plaza
Mengine naona mpaka jina la mtu alafu mwisho neno "plaza "
Hivi hili neno plaza hua lina maana gani naomba kujuzwa
Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake
Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa,
Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha...
Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi.
Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;
Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa
Assumptions;
Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo
Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu.
Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
afrika
chanzo
elimu
elimu.
kesi
kilele
kimataifa
kisiasa
kuanguka
maghorofa
makundi
siasa
siri
ubovu
uchawa
umaskini
viongozi
viongozi wa kisiasa
vyama
vyama vya siasa
wingi
zao
Habari wadau, wamiliki, watumiaji na wasimamizi wote katika sekta ya ujenzi.
Kwanza nitoe pole kwa wahanga waliokutwa na jambo zito la kuangukiwa na ghorofa kariakoo!
Naomba kutoa machache kutokana na uzoefu wangu kiufundi katika majengo makubwa na madogo!
Kwanza kabisa Siyo kosa kiufundi...
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile
Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora.
Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu.
Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi?
Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna...
Habari zenu wana JF.
Kuna jambo gani ambalo linaendelea kariakoo maana kila ukienda kuna ghorofa lishavunjwa kwa ajili ya kujenga jingine. Ni kwamba bei ya vifaa vya ujenzi imeshuka au vipi?
Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia.
Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu.
Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii.
Wito...
Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu.
Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
Habari Wakuu!
Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga.
Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana.
Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.