Nchi tatu za Afrika Magharibi, Mali, Niger na Burkina Faso hivi karibuni kwa nyakati tofauti zimetangaza uamuzi wao wa kujitoa katika Jumuiya ya Francophonie (OIF). Nchi hizo ziliwahi kujulikana kama nguzo ya “Afrika ya Ufaransa”, lakini sasa zimechukua hatua thabiti kuondoa alama za kikoloni...