Rais Vladimir Putin ametoa hotuba kali kwa wabunge la Urusi, akithubutu nchi za Magharibi kujaribu kupambana na Moscow kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine .
"Unaweza kusema nini, waache wajaribu," alisema kwa sauti.
Kiongozi huyo wa Urusi pia alidai kuwa upande wake ulikuwa umeanza...