Inakuwa vipi ? wadau wa sheria za kimataifa tupeni elimu.
Je kama wanafungwa KWENYE magereza yao inamaana wamaheshimika na kutambulika kisheria na kama wanafungwa Kwa jinsia zao za kale au za Sasa vipi hali ya gerezani.
Ikumbukwe Bwana Civilian Coin au Kisandu alifungwa na Mahakama ya wilaya ya Kahama miaka 7 jela kwa kosa la "Kumtaja mtu mchawi" tangu tarehe 11 April 2022, Aiza Civilian Coin alikata rufaa Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga akiwa huku akitumikia kifungo gerezani, lakini Mahakama...
Mh Rais shikamoo
Mimi ni Mtanzania niliyemsaidia san Hayati Magufuli kufanya aliyo yafanya kupitia hapa hapa
Haya ebu sema Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa?
Watoto wetu walikuwa ndugu zetu tarehe 29 ndo imeisha hiyo? We mama msawalie mtume tafadhali halijaisha mpka liishe Ili mama
Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao!
Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki!
Let it be documented rather than leaving the...
mpendwa Samia kama utapata bahati ya kwenda the hague kwenye detention yao
unauhakika wa kula milo mitatu tena iliyo pangiliwa kitaalumu kwa virutubisho vizuri.
Hata kipindi cha break ukiwa mahakamani utapewa msosi na huku usalama wako ukiwa
umehakikishiwa sio kama huku Samia kipenzi...
Kwanza nimeangalia hizo mbwembwe za hao maafisa wa magereza inasikitisha huo muda wangeenda kusimamia wahalifu walime mpunga na mahindi huko nchi ipate chakula,
Muda unaotumika na gharama sidhani kama unaweza kufidiwa ,
Kodi za Watanganyika zinatumika kwa mambo ya kipumbavu
ADHABU ALIYOPATA...
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Lusetula (Mbunge), amewatunuku shahada ya uzamili wahitimu 2,250 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiwemo maafisa na askari 90 wa Jeshi la Magereza, waliosajiliwa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika fani mbalimbali zikiwemo amani na usalama pamoja na...
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo. Watapigwa wachakae. Kwa msiofahamu ni kuwa Askari Magereza hupitia mafunzo magumu sana kuliko askari wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, amesema Askari wa magereza wamemzuia kuingia Gereza la Ukonga kumuona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
"Askari wa Magereza wamenizuia kuingia gereza la Ukonga leo kumwona...
kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
Unateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki
umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao hizo damu za watu na machozi ya watu unaweza kuishi vipi kwa amani?
Unafanya ayo mambo yote kesho uko...
Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka Mwamakula (24) huko Lilondo halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma.
Hayo yamebainishwa leo Septemba 21,2025...
Habari za asubuhi ndugu.
Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu.
Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze...
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na...
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.
Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
Wakuu JF amani iwe nanyi.
Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana.
Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions zinatozenganishwa na ma Box.
Afisa mwenye Nyota tatu begani anaishi Nyumba ya chumba na Sebule...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa...
Watu wasiojulikana wamemuua Mkazi wa Mtaa wa Lwelyangula kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga Malini Kilucha (37) ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa kumfunga mdomo na pua kwa kutumia nguo alizokuwa amezivaa karibu na nyumba aliyokuwa akiishi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga...
Katika hali inayoendelea kuitia dola aibu, Leo mahakamani Askari Magereza amemsukuma ndugu Lissu na kumsababishia sintofahamu kubwa.
Lissu ambaye ni kiongozi wa Umma, ambaye anastahili heshima katika jamii, inashangaza dola inamfanyia kitendo hiki. Dila isiyoheshimu viongozi wa umma hii ni dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.