magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiongozi wa Boko Haram, Amir Bukkwaram, ajisalimisha

    Aona bora kujisalimisha badala ya kufa maana wanapelekewa moto sana wale....mambo ya kufa wakawahi mabikira yamewatoka. ========= The Boko Haram Commander that instigated an ethnic clash between insurgents leading to the killing of 82 fighters has surrendered to the military. Security sources...
  2. Uganda: Magaidi ya ADF waanza kujisalimisha

    Yameona mwanga na kuamua hayapo tayari kuwahishwa kwenda kule kwa mautamu ya akhera. Japo natoa wito yasiaminiwe sana kihivyo, inaweza ikawa zuga ya kupata fursa ya kuachiwa yajilipue sehemu yenye watu wengi. ========= The joint forces of the Uganda Peoples' Defence Forces (UPDF) and the Armed...
  3. Magaidi wa Boko Haram wenye mlengo wa kidini wachinja vijana maporini

    Walikuta hao vijana wakichanja kuni na kuwaua..... Suspected Boko Haram insurgents on Thursday killed youths across four contiguous communities in Mafa and Jere Local Government Areas of Borno State. Four of the youths who were reportedly in the bush fetching firewood, were in Tamsu-Ngamdu...
  4. Waasi wa ADF wavamia shule na kuua watu 40 Uganda

    Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa nyara Meya wa Mpondwe, Selevest Mapoze, amesema wengi wa waliouawa ni Wanafunzi, huku kukiwa...
  5. Magaidi wa Alshabaab wajaribu kujilipua kwa Waethiopia na kukuta wamesubiriwa na kuwahishwa

    Magaidi wa alshabaab kule Somalia wenye mlengo wa dini walijaribu kuvamia kambi ya Wahabeshi, Ethiopians, walianza kwa kujilipua lipua ila wakakuta wamesubiriwa na kupokea kichapo..... ================== Ethiopian National Defence Forces (non ATMIS) , who are supporting the Federal Government...
  6. Idara za Ulinzi na Usalama za Marekani ziliwahi kuikataa DP World kwa kuhofia kuingiza Magaidi na Silaha

    Kwa mujibu wa Bill Gertz, mwandishi wa Kitabu cha Breakdown: How America's Intelligence Failures Led to September 11 alinukuliwa akisema "Maafisa wa kijasusi na usalama waliopinga mpango wa kubinafsisha Bandari zake kwenda Dubai Ports World walisema bandari ziko hatarini kutumika katika...
  7. S

    BBC: Urusi yakamata Magarivita ya USA yaliyotumiwa na magaidi ya Ukraine huko Belgorod, Marekani yajitenga na tukio hilo

    BBC yaripoti kuwa Urusi imewaua waasi 70 toka Ukraine waliojipenyeza na kuingia kwenye mpaka wa Russia na Ukraine, kwenye mkoa wa Belgorod, wakitumia magarivita ya Marekani ikiwemo MRAPs (Mine-Resistant Ambush Protected vehicles) na Humvees (The High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicles)...
  8. Magaidi 60 wenye itikadi za kidini wauawa Somalia

    Wamewahishwa kuleeee. ========= The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group. Haradhere District Commissioner Mohamed Yusuf Kulmiye said that the SNA had received information about the movement of Al-Shabaab...
  9. Magaidi 20 wa kidini wa ADF (Islamic state) wauawa DRC

    Hawakusubiriwa wamalize mfungo wa ramadhani kabla kuwahishwa mbele za haki... In an operation that saw the joint forces make a surprise attack on an ADF camp in the thick forests South West of River Lusulubi Near River Semuliki -Rwenzori Sector, 20 rebels were put out of action whereas one UPDF...
  10. Magaidi wa Iran wauawa na shambulizi la Marekani

    Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa.... US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following a drone attack that killed one American contractor and wounded five US service personnel, a war...
  11. Magaidi wenye mlengo wa dini (Boko haram) waua wavuvi Chad

    Hawa watu na dini yao sijawahi kuwaelewa, wanaua maskini waafrika wenzao..... No fewer than 29 fishermen have lost their lives to suspected Boko Haram terrorists while fishing in the Lake Chad region in Borno State. The incident reportedly happened at Mukdolo village located in Gamboru-Ngala...
  12. "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo

    Suspected Allied Democratic Forces militants, an insurgent group with ties to the "Islamic State," have killed at least 36 people in an overnight attack in eastern Congo. Rebels killed at least 36 people in an overnight attack on a village in eastern Democratic Republic of Congo, officials said...
  13. Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

    Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini...... Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
  14. Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

    Mohammad Ibrahim Bazzi ambaye amekua akifadhili magaidi ya Hezbollah, amekamatwa pamoja na utajiri wake wote.. ======== ALebanese and Belgian citizen considered a key financier of Hezbollah has been arrested in Bucharest, Romania's capital, U.S. federal authorities said. Mohammad Ibrahim...
  15. Al Shabaab wapigwa mabomu wakati yanajiandaa kwenda kulipukia watu

    Wananchi wema walitonya uongozi kuhusu magaidi wa Al Shabaab yaliyokua yanajiandaa kwenda kulipukia watu, ghafla yakashushiwa mabomu na kuwahishwa mbele za haki. ===================== A suspected US airstrike destroyed a would-be suicide car bomb in central Somalia on Friday, an official said...
  16. Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
  17. DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  18. Magaidi wamtia kiberiti kasisi wa kanisa la katoliki kule Nigeria

    Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu kutoroka....Mungu ailaze roho yake pema peponi... ===================== Until his death, Achi was attached to St...
  19. Magaidi wenye itikadi za kidini walipua mabomu na kuua nane Somalia

    Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane..... Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists. The...
  20. I

    Magaidi wa ISIL wazidi kutesa watu katika eneo la Sahel

    Wafuasi wa ISIL wapata mafanikio katika Sahel huku mauaji yakiongezeka. Idadi ya raia waliouawa katika eneo la kati la Sahel katika mashambulizi yanayohusishwa na makundi ya waasi imeongezeka karibu mara mbili tangu mwaka 2020. Muungano wa NGOs za Afrika Magharibi ulisema katika ripoti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…