Nigeria inakabiliwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta, licha ya kuanza kazi kwa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, ambacho ni kikubwa zaidi barani Afrika.
Bei zimepanda kwa takribani asilimia 65%, huku sehemu kubwa ya mafuta yake yenyewe imefungwa katika makubaliano ya kulipa madeni kwa...