mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Afrika Mashariki na Mzigo wa Bei za Mafuta – Mei 2026

    Wakuu leo nimeona huo Mjadala wa nchi kumi zenye bei kubwa zaidi ya mafuta umeibua hoja nyingi, lakini jambo moja lililokosekana ni ulinganisho wa mzigo halisi kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nimekutana na Takwimu mpya za Mei 2026 zinaonyesha kila nchi inatoboka tofauti kulingana na...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Mafuta yageuka kuwa ya Vifo wakati Polisi wakikabiliana na Waandamanaji Nchini Kenya

    Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
  4. JamiiForums Tanzania Wasomi Wataja Faida za Mradi Mkubwa wa Mafuta Tanga

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati. ◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika namba 9 kwa kuwa na bei kubwa ya mafuta Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya tisa barani Afrika na ya 67 duniani kwa bei kubwa ya mafuta mwezi huu wa Mei 2026, ikisajili wastani wa $1.587 kwa lita. Kulingana na takwimu za GlobalPetrolPrices, hali hii inatokana na kupanda kwa gharama za nishati duniani, jambo linaloongeza gharama za maisha...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Leo Imepanda, Kesho Imeshuka, Kesho Kutwa Imepanda Tena” — Serikali Inachezea Akili ya Mwanaichi Kwa Bei ya Mafuta?

    Mwanaichi wa kawaida Kenya amebaki confused na hii mchezo ya fuel prices. Last month tu serikali ilitangaza bei ya mafuta imepanda vibaya, wananchi wakalalamika, pressure ikaongezeka online na kwa ground, then ghafla prices zikashushwa kidogo kama “relief.” Sasa barely a month later, boom...
  7. JamiiForums Tanzania Mafuta na gesi yakiisha Mashariki ya Kati tutaishije ?

    Mzuka wana jamvi ? Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed . Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ? Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) – Arusha wanafanya kazi kimazoea, wanasababisha mafuta yasipatikane

    Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta inahudumia Kanda nzima ya Kaskazini. Tuliomba wafanye shortlist ya baadhi ya vituo vya mafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dangote kiwanda cha Kuchakata mafuta (Refinery) kutoa IPO katika masoko ya hisa Africa.

    Baada ya kuzidiwa na Madeni naona Aliko Ally Dangote anataka kuweka sawa vitabu vyake Debt to Capital balance kwa kutoa IPO (Initial Public Offer) ili kupata mtaji ambao utasaidia katika ku balance vitabu Mfanyabiashara huyu alishafungua Refinery yake Nigeria ambayo inachakata pipa 650,000/= kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa tamko gani juu ya kupanda kwa gharama za gesi na mafuta ya petrol na dizeli? Maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa magumu kila kukicha

    Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini. Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji coster ya kukodisha kwa siku 180k mafuta juu yetu

    Kama una coster unakodisha inahitajika leo kwa siku 180k itakodishwa ndani ya miezi 6.mafuta kwetu dereva juu yako lakini tunamhudumia kila kitu.kazi ni site singida lkn gari hiyo lazima ije hapa ofisini kukaguliwa na kufungwa kingamzi na camera.kama uko tayari ilete gari
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale MAFUTA MBUZI SAFARI TEMBO

    Passo AKA KINUSA MAFUTA IMEFIKA PIA 2008 MODEL A VERY CLEAN UNIT, KM 88,000 CC 1000 AT Petrol 2WD 13.9M + Usajili, HII kwa Mafuta Kupanda BEI itakufa sana, Kwa Final Price Na Picha zaidi Contact 0714547598
  13. JamiiForums Tanzania Ni ujinga wa karne kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta kujengwa Tanga-missed oppurtunities

    Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga. Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania. Ufadhili wa ujenzi hicho kiwanda ni kutoka kwa Dangote, tajiri kutoka Nigeria. Tukumbuke bomba la mafuta toka...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Tanga.

    Heshima sana wanajamvi. Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga. Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taarifa ya ujio wa kiwanda hicho katika nchi yake. Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata au kusafisha mafuta ni...
  15. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi. Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida. Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
  17. JamiiForums Tanzania Katika Mkataba wa Bomba la Mafuta Hoima -Tanga imeandikwa Refinery itajengwa Tanga.

    Watanzania hasa wapenda maendeleo suala la kujenga refinery ya Crude oil ya Uganda limeandikwa kwenye Mkataba siyo suala la Makubaliano na Dangote refinery ya crude oil itajengwa na waofanya drilling ya Total Energy. Lakini Tujiulize Refinery ya Mombasa itakua inasafisha mafuta gani? labda...
  18. JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  19. JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…