mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama una gari na huwezi kununua mafuta na kuwasha AC continuously umevamia pori

    Kama wewe ni mkulima, mfanyakazi au mfanyabiashara, katika mihangaiko yako umedunduliza ukanunua gari... kama huwezi kulifurahia hilo gari bila kupata stress za mafuta, vipuri, uoshaji na services zake nyingine. Basi tambua umevamia pori; hukustahili kumiliki chombo hicho cha usafiri. Nini...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Maeneo nje ya Jiji la Dar es Salaam yalikabiliwa na upungufu wa Mafuta ya Petroli mwaka 2023

    Kuna maeneo fulani nimepita ya mkoa wa dodoma wilayani huko; nimekuta kuna msururu mrefu sana wa vyombo vya moto kwenye moja ya petrol station. Nikajaribu kuuliza kuna shida gani hapa? Wenyeji wanasema mafuta ya petrol hamna kabisa wilayani hapo. Baadhi ya vituo vya mafuta vimesitisha huduma...
  3. JamiiForums Tanzania EWURA wakanusha uhaba wa mafuta nchini

    Baada ya wananchi kulalamika uhaba wa mafuta Kwa baadhi ya maeneo nchini, hatimae EWURA wametoa tamko na "mkwara" kuwa mafuta yapo na kwamba makampuni yanayoficha mafuta yakae "chonjo"! Imeenda hio. --- Pia Soma: - Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, Wananchi wanahaha kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Daladala wanakera sana kuweka mafuta katikati ya safari hasa ukiwa unataka kuwahi

    Hakuna kitu nisichokipenda kama nikipanda daladala, boda au bajaji especially when kuna foleni na unataka kuwahi wao wanaingia sheri kujaza mafuta. Hivi wanashindwa kuweka full tank na kujaza kila wanapomaliza trip kuliko kujaza katikati?
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Manyara: Upatikanaji wa Petroli Mbulu ni changamoto, EWURA yatoa onyo wanaohodhi mafuta

    Kuna ujumbe wa Mdau katupia picha hii na kueleza kuwa hali ilivyo katika Mbulu Mjini Mkoani Manyara Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kupata Petrol ni baada ya takribani wiki wakikosa huduma ya Nishati ya Petrol. Hii inatokana na uwepo wa vituo vitatu pekee vya kutolea huduma hii muhimu na...
  6. JamiiForums Tanzania Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

    Wakuu ikiwa mtu ana uzoefu wa umiliki wa hii Nissan Patrol Y61 SUV naomba msaada wake kwenye mafuta na spea Tanzania. Wenu Mtiifu.
  7. JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
  10. JamiiForums Tanzania Waarabu kuchukuwa fedha zetu za mafuta?

    Kama Waarabu wamepewa Bandari zote, ina maana bomba la mafuta kotoka Uganda linaloishia Tanga Port ambayo itakuwa chini ya Waarabu au mali ya Waarabu, fedha watachukuwa Waarabu? Ina maana tutagawana na Waarabu faida ya mafuta? Ikumbukwe bomba la kutoka Uganda lita pump > 240 000 barrels kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Meli ya Tanzania inashikiliwa na vikosi vya Iran kwa wizi wa mafuta

    Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. --- Iran's Revolutionary Guards seized a tanker holding 900 metric tons of "smuggled fuel" and 12 crew...
  13. JamiiForums Tanzania Bomba la Mafuta (TAZAMA) kutumika kusafirisha Mafuta mikoa ya Kusini

    Wizara ya Nishati Tanzania imeanz amajadiliano na Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na sekta ya nishati kwa ujumla wake. katika kikao hicho kitaongozwa na Wawaziri January Makamba na...
  14. JamiiForums Tanzania Waganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta

    Uganda ilipogundua Taifa lao lina mafuta walichukua vijana wao wakakimbizwa ughaibuni kwenda kujifunza kuhusu uzalishaji wa mafuta. Hivi navyokwambia mradi wa mafuta wa Uganda unasimamiwa na vijana waliosomeshwa na Uganda. Cha ajabu mradi wa mafuta wa Uganda unaajiri hadi watanzania. Mradi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Dizeli, Petroli yashuka Bei Dar, Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (a) Bei za rejareja za mafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

    Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na...
  17. JamiiForums Tanzania BBC: Kampuni ya Shell bado inanunua mafuta Urusi

  18. JamiiForums Tanzania Waarabu wajanja sana walishapiga hesabu kuwa mafuta yana mwisho wa kuchimba

    Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic sources of income hapo baadae when oil deposits runs out aisee.
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu akomalia shs 100 kwenye mafuta, adai yakipanda bei Rais Samia ataweka ruzuku

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tozo ya Tshs 100 kwenye mafuta ni jambo jema kwani inataka kutunisha mifuko ya Serikali katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Mwigulu amesema miradi ya maendeleo ambayo Tanzania inatekeleza hakuna nchini yeyote ukanda wa Afrika wanaotekeleza kwa mara...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mafuta ya kutengeneza sabuni za miche kwabgharama nafuu

    Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta. Kiasi kwamba faida nashindwa kuipata kabisa. Msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi naweza kupata mafuta haya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…