mafundisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Fuateni Mafundisho ya Neno la Mungu na siyo Maombezi ya Miujiza ya Uwongo na Kweli

    Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania. Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  3. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu na mafundisho kutokana na visa na Mikasa tuliopitia

    Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana. Hauta sahau nini katika maisha yako?
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  5. j_h_kirigini

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  6. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa

    Shogangu anaolewa bwana, Leo ananihadhithia jinsi gani walivyoenda kwenye mafundisho ya ndoa halafu mchungaji akawa anazugazuga alipomwuliza swali na KUMFOKEA😂 Shogangu: mchungaji samahani, maana tangu mafundisho yalipoanza na leo tunamaliza, na kila kitu unasema ni dhambi tukiwa kwenye kufanya...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM: Tusikubali mafundisho ya kusifia tuu mtu na chama chetu, bali tupokee yale yenye kutia "UBUNIFU" wa kuijenga nchi kisayansi zaidi.

    Ninamsifu na ninamshukuru baba yangu mzazi kwa :- 1. Kuandaa mazingira ya kumwoa mama hatimaye nikawa duniani. 2. Kujenga nyumba ya tope na bati, na kutulelea humo, wakati huo majirani wote walikuwa na nyumba za makuti. 3. Kuishi kwa kutegemea kilimo na ufugaji ndani ya shamba la baba ...
Back
Top Bottom