mafundi

  1. JamiiForums Tanzania Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu...
  2. JamiiForums Tanzania Mafundi ujenzi kazi zipo Dodoma

    Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi Ni kama mafundi wameelemewa Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako Haya ni kwa mujibu wa jamaa yangu aliyeko huko Haya sasa wew fundi mjenzi Fundi rangi Fundi bomba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
  4. JamiiForums Tanzania mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

    Ndugu zangu poleni na majukumu. kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha . kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT. Nipo tayari kujifunza zaidi naombeni kazi ndugu zangu
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mafundi sio waaminifu n...??

    Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...?? Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi wenzangu kukengeukiwa kwa mabosi zao:- 1) MAKUBALIANO/MAPATANO YA KAZI...hili ndio chanzo kikubwa cha...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu Shebwa Masonry Contraction, Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye...
  7. JamiiForums Tanzania Davao service center: Mafundi wako wa simu wa kuaminika

    Habari. Davao Service Center tunatengeneza simu za aina zote pamoja na kufunga spea mpya za simu. Tumebobea kwenye matengenezo ya : Kubadili Vioo Vya Simu. Kubadili Camera. Kubadili Betri. Simu Iliyozima Ghafla. Simu Iliyoingia Maji. Mfumo wa Chaji. Mfumo Wa Simu Kugandaganda. Tunarepair...
  8. JamiiForums Tanzania Mafundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Mafundi Seremala,kabati kama hii inagharimu kiasi Gani?

    Gharama yake ni shilingi ngapi wakuu?
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  11. JamiiForums Tanzania Changamoto katika ujenzi: Mafundi uchwara wanavyoharibu kazi

    Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye Ununuzi wa ardhi/kiwanja Mafundi wa kila idara Makisio ya vifaa, ufundi Muda sahihi wa kuanza ujenzi Nini cha kuanza kufanya nknk Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila...
  12. JamiiForums Tanzania Mafundi pamoja na wauzaji wa Aluminium wa rejareja karibu ujipatie Aluminium pamoja na accesories kwa bei ya kiwandani.

    Karibu ofisini kwetu ujipatie Accessories na Aluminium Kwa bei ya kiwandani. Bei zetu ni rafiki sana , Kwa DSM ukinunua mzigo utapata free delivery na Kwa mikoani ukinunua mzigo tutaupeleka hadi kwa transporter wako. Kuhusu bei huwa zinapanda na kushuka hivyo ukitupigia tutakupa bei ambazo...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani mafundi ujenzi nisaidieni hili.

    Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika. Lakini cha kushangaza mikanda ile ya pembeni haikuwa kwenye orodha ,ikabidi nimpigie kumuuiliza nikijua labda kasahau, lakini alicho...
  14. JamiiForums Tanzania Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa mafundi ujenzi tangu Desemba 2024. Chanzo ni nini?

    Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini? At the same time kuna wimbi kubwa la vijana naliona likishinda kucheza kamari kwenye mabanda mbali...
  17. JamiiForums Tanzania Tutiririke vitu vya msingi kuvijua unaposimamia ujenzi kama mmiliki, haya mafundi tuambieni ukweli 1 2 3

    Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
  18. JamiiForums Tanzania Photocopy machine inauzwa bei 500k, xerox 7220 mafundi mnakaribishwa

    Mazungumzo yapo changamoto ni umeme tu, mwenye uhitaki karibu inbox
  19. JamiiForums Tanzania Tunahitaji mafundi wa kushona kwa cherehani

    Tunahitaji MAFUNDI wa Kushona CHEREHANI 1. Sifa za Kitaaluma Uzoefu wa angalau miaka mitatu katika kazi ya kushona cherehani. Uwezo wa kushona na kukata vitambaa kwa usahihi na uangalifu, kulingana na mahitaji ya kazi. 2. Sifa za Kimsingi Awe mkazi wa Dar es Salaam. Umri kati ya miaka 20 hadi...
  20. JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…