Huu uzi unawahusu mafundi aina zote haswa mafundi ujenzi.
Usione watu wana miliki nyumba zaidi ya 10 ukadhani zote wamejenga kihalali kumbe nyuma ya pazia kuna uchafu umefanyika kukamilisha ujenzi huo.
Mchezo upo hivi, tajiri atakuita vizuri atakupa kazi na mtaanza vizuri tu mwanzoni , ila...
Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan.
1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
Nimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe.
Lakini...
Vinyama vya Ajabu Vinavyotokea Kimya Kimya (HPV)
Mara nyingi vinaanza vidogo, bila maumivu au kuwasha, lakini huendelea kukua taratibu bila onyo.
Hivi si vinyama vya kawaida — ni genital warts, vinavyosababishwa na kirusi hatari kinachoitwa HPV (Human Papillomavirus).
🔬 HPV siyo kirusi cha...
Wale wajenzi na mafundi, tafadhali tusaidiane katika hili.
Mara nyingi huwa mnapanda juu mkibeba mabegi na waya zetu za wiring. Swali langu ni: kule juu huwa mnafanyia nini na hayo mabegi? Na je, tunapowasachi tunakosea kweli? Tusijaribu kuingizana kwenye majaribu, wapendwa.
Jana nilikuwa...
Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service.
Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
Jumapili kidogo nichapwe elfu 45 nikidhani TV imeharibika sehemu ya kuweka flashi.
Nikaibeba kuipeleka kwa fundi, Nikaambiwa sehemu hio imeungua, inahitaji kubadilishwa
Muda huo remote inafanya kazi vizuri tu lakini ukiminya sehemu ile ya kufungulia flash inakataa
Fundi akasema nimsubiri...
Ndugu Wajumbe,
Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini!
Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa.
Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !!
Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
Mkisikia magari yanaweza kosesha amani mtu muyasikiage tu ombeeni yasiwakute 😂
Uliwahi kuteswa na tatizo gani kwenye gari lililokufanya upoteze muda na pesa kwa mafundi, magarejini, spea, n.k.
Na muhimu zaidi uliwezaje kulitatua baadaya kuhangaika sana ?
Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini.
Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia.
Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha.
Nikampa...
Mara kadhaa nimeona hili, mtu akinunua battery, fundi anaenda kutafuta battery lingine aje kuwashia gari,
gari likiwaka anachomoa battery, akichomoa battery bado gari linaendelea kufanya kazi ndipo anaweka battery jipya.
kwanini huwa hawaweki moja kwa moja battery jipya ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.