mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua CCM 28 Oktoba 2020

    Ni uchaguzi rahisi kwa CCM, uchaguzi mwepesi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ni uchaguzi wa mafanikio ya CCM dhidi ya ahadi za Wapinzani. CCM inakwenda ktk uchaguzi huu kuonesha mafanikio iliyoyafanya kwa miaka mitano iliyopita (ambayo kimsingi ni mengi) wakati wapinzani wanakwenda...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali yaanza kuprint vipeperushi vya mafanikio ya Awamu ya Tano, tuvisome?

    Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe. Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mafanikio yaliyoletwa na Rais Magufuli yawaumiza kichwa wapinzani katika kampeni zao

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na Kampeni katika mkoa wa Geita mabapo mbali na kuomba kura ameeleza mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika mkoa huo huku akisisitiza katika kuleta maendeleo zaidi katika mkoa huo, haya ni baadhi ya aliyoyazungumza...
  4. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya miaka mitano ya CCM, wateule wa Rais Magufuli hawatatui kero za Wananchi. Hapa tatizo lipo wapi?

    Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM. Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

    Na Baraka Mina. Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mafanikio zaidi ya 50 baada ya miaka 50 chama kimoja ( CCM )

    Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama. Hakuna uhuru wa maoni Hakuna uhuru wa vyombo vya habari Hakuna mijadala ya hoja kwenye media Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja Rais amekuwa mfalme Deni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo nitazungumzia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi na mafanikio makubwa tuliyo yapata 2015 hadi 2020

    Na: Beatrice Condrad Kauli mbiu ya Chama Cha Mapinduzi 2020 ni: TUMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUNASONGA MBELE PAMOJA. Kwanza kabisa napenda kutoa UTANGULIZI wa Ilani yetu ya Uchaguzi 2020 kama ifuatavyo; 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wa vyama vya TANU na ASP na baadaye CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

    Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo . Lakini sisi wengine...
  10. JamiiForums Tanzania Familia Bora: Chanzo cha Mafanikio

    FAMILIA BORA; CHANZO CHA MAFANIKIO Na, Robert Heriel Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Haki zote zimehifadhiwa Huwezi ukafanikiwa kama hujatoka familia bora, na kama umefanikiwa na haujatoka familia bora basi kaa ukitambua kuwa mafanikio hayo hayatadumu ikiwa wewe nawe...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Siri 21 za mafanikio za mamilionea

    SIRI/KANUNI 21 ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA. (Tafsiri ya kitabu The 21 Success Secrets Of Self Made Millionaires- by Brian Tracy) ************ Utangulizi: Kanuni ya Kisababishi Na Matokeo Kile unachojaribu kujifunza katika kurasa hizi kinaweza kubadilisha maisha yako. Mawazo haya, ufahamu...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara gani Mwanachuo anaweza kufanya akiwa Chuoni?

    Wakuu habari zenu, Natumaini ni wazima wa afya, poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Lengo la bandiko hili ni kusaidia vijana walioko chuo na wanaotarajia kwenda chuo. Hoja ni kitu gani au biashara gani ambayo anaweza kufanya akiwa chuoni. Asante, karibuni kwa maoni yenu.
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Napinga viongozi wa dini kukutana kwa lengo la kuelezea kinachoitwa mafanikio ya Rais Magufuli, hii ni kampeni na haikubaliki

    Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5! Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

    Hali imekuwa ndivyo sivyo. Ni vilio na simanzi . Kila kona ni aibu tupu. Wahenga walisema Tamaa mbele mauti nyuma. Au majuto ni mjukuu. Inasemekana kuna tofauti kubwa kati ya wasanii wa tanzania, uganda a Kenya, wachambuzi wa maswala ya siasa na uchumi, utamaduni na maendeleo wanasema kundi la...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

    Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana. Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio. Ngoja niende pale ofisi za CCM central...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi kumpiga au kupigwa na mpinzani wako kibiashara? Mbinu gani zilitumika?

    Kuanzia Azam Dhidi ya Azania, Mwana FA & AY Dhidi ya MIC Tanzania (Tigo), FIESTA Dhidi ya Wasafi Festival, Simba Dhidi ya Yanga, Adidas Dhidi ya Nike, Facebook Dhidi ya Snapchat, Pepsi Dhidi ya Cocacola, Uber Dhidi ya Lyft mpaka wewe dhidi ya mpinzani wako... biashara ni vita. Kinachopiganiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kiza Hussein Mayeye: Nikishukuru sana chama changu cha CUF kwa kuniamini na kunipa nafasi

    Kwanza kabisa nianze Kumshukuru mwenyezi mungu kwa afya njema na kunisimamia katika kipindi changu chote nikiwa kama mbunge. mimi kwa majina naitwa Kiza Hussein Mayeye ,nimzaliwa wa Kigoma katika kijiji cha mwandiga.elimu yangu ya msingi niliipata katika shule ya msingi mwandiga ambapo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu. Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo: 1...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Mke anaweza kukuharibia mafanikio maishani

    Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…