maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  2. Iran sasa yajipigia tu maeneo ndani ya Israel.Trump hashikiki anataka kuingilia

    Raisi Donald Trump wa Marekani hashikiki kwa hasira na kiwewe anatoa majibu yasiyo na mpangilio maalum wala hadhi za ikulu ya White House. Kisa cha hali hiyo ni kutokana na Iran kuwa na huru wa kupiga maeneo anayotaka bila kizuizi.Maeneo muhimu yaliyopigwa na Israel kukubali kipigo ni pamoja na...
  3. IDF yaonya Wairani kuondoka katika maeneo karibu na miundombinu ya kijeshi

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vimetoa onyo la dharura kwa Wairani, na kuwaambia wakaazi kuondoka katika eneo lililo karibu na vituo vya kijeshi. Katika ujumbe kwenye mtandao wa X, akaunti ya IDF ya lugha ya Kifarsi inasema: "Watu wote ... waliopo ndani au karibu na viwanda vya utengenezaji...
  4. Tumeshambulia maeneo ya miundombinu ya nyuklia ya Iran - IDF

    Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran. Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti. Iliongeza...
  5. Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

    Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel. Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
  6. U

    Taarifa IDF inasema inaendelea kulenga shabaha za nyuklia na wanasayansi, maeneo ya kijeshi na maafisa nchini Iran

    Wadau hamjamboni nyote. IDF says it’s continuing to strike nuclear targets and scientists, military sites and officials in Iran By Emanuel Fabian Follow Today, 11:55 am The IDF says it continues to strike in Iran, and its next step is to “operate freely...
  7. Israel waanza kupiga maeneo ya karibu na makazi ya Ayatollah na Ikulu, ichukuliwe kama onyo watapiga popote

    Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
  8. Kama sehemu ya kurudisha faida za kiuchumi daraja la Kigongo Busisi, Wizara ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri wapange na kupima maeneo jirani

    Nashauri upimaji mkubwa ufanyike wa ardhi upande wa Wilaya ya Segerema na Misungwi ili kuongeza mvuto na kuleta faida za kiuchumi za daraja. Haipendezi billions 700 zilale hapo halafu pajae squatter. Huo ni ukanda wa ziwa, hotel zinafaa, prime plots kama Capri point zinaweza kutengenezwa. Hii...
  9. A

    KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  10. Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

    Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel...
  11. S

    Taratibu za Uanzishwaji wa Makanisa Katika Maeneo ya Makazi

    Naomba msaada kujua mwongozo au kanuni rasmi zinazohusu uanzishaji wa makanisa katika maeneo ya makazi hapa Tanzania. Mimi ni Mkristo na ninaamini kwa dhati katika uhuru wa kuabudu. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo ibada na maombi kutoka baadhi ya makanisa yanapita kiwango na kuwa KARAHA, hasa...
  12. PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  13. Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  14. Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Lori maeneo ya Tabora leo Mei 28, 2025

    Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze. ============================= Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
  15. Natafuta kuanzia tonne 5 ya Hass or fuerte Avocado kwa maeneo ya Arusha or kaskazini

    Wakuu nimepata mchongo wa kukusanya avocado za Hass kwa maeneo ya kaskazini sababu zinaenda Nairobi. Nataka supplier wa uhakika na bei nzuri tufanye biashara na malipo ni hapo kwa hapo. Nicheki pm tufanye biashara.
  16. Ukifika Japan hakuna sehemu ya kutupia uchafu public na maeneo yao ni masafi

    wanasema tembea ujionee.Ndio maana mkinunua magari used yao kukuta vyakula na vitu vengine ndani ya gari ni kitu cha kawaida. Japani ukinunua kitu chochote mfano chakula basi hakikisha una cha kubebea uchafu ili ukatupie kwako. Na uchafu ambao unaweza kukuta unatakiwa kupokelewa ni chupa za...
  17. Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha, ili Utimize ndoto zako

    Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha nayo ili Utimize ndoto Yako, ✒️Gerezani(uhuru) ✒️makaburini(umauti) ✒️ Hospitali(magonjwa) Ikifikia hatua umekata Tamaa, Basi Lia sana na Mungu kwa sababu yeye ndio anajua tamati Yako. Aliekuumba ndio anajua jinsi ya kukutunza usipoteze Sana Thamani...
  18. M

    Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  19. Gerson Msigwa, wape waandishi wa habari free tour ya uwanja wa Benjamin Mkapa watembelee kila mahali, usiwabane waone maeneo unayotaka

    Naona kama masuala ya uwanja huu yako restricted kwa free media tour. Nashauri Msigwa awaache waandishi wa habari wapite kila kona ikiwamo vyooni, vyumba vya kubadilishia nguo, VIP, waangalie viti, namba za viti, quiality, ticketing system na kila kitu wakiwa huru na wataalamu wa uwanja tu...
  20. Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

    Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…