maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roketi za Hizbullah zatajwa kuilemaza mitambo ya kujilinda ya Israel, ndio maana zimepenya na kupiga maeneo ya Israel

    Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
  2. Ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua hardware?

    Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
  3. Kuna mitaa zaidi ya 20 duniani inakwenda kwa jina la Patrice LUMUMBA, Nadhani Distinction iwepo kabla ya kutoa jina

    Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo . Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
  4. J

    Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
  5. KERO Us dollar bado inatufinya wapangaji wa maeneo prime area Dar

    Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa kiasi Gani. Mawazo yenu wadau, namna ya kuondokana na gharama hizi za ongezeko linalotokana na...
  6. Maeneo yafuatayo yanastahili Maboresho/Ujenzi wa stendi mpya za mabasai ya mikoani

    1.ARUSHA Hili ni jiji kubwa la kitalii hapa nchini na ndiyo makao makuu ya jumuiya ya afrika mashariki....pia mashindano ya AFCON yatafanyika huku. 2.KAHAMA Mji mkubwa kwa biashara za madini hapa nchini....lakini ni kitivo cha biashara za mazao kwenda mikoa ya magharibi na nje ya nchi 3.MBEYA...
  7. Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  8. KERO Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo hasa maeneo ya Mivumoni na Marobo (Tegeta) pamoja na Kinzudi

    Maeneo ya Kinzudi Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira. Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika. Adha, hii...
  9. BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  10. V

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mradi wa kutenga maeneo ya majaribio ya kisayansi na bunifu kwa vijana

    UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
  11. R

    SoC04 Turekebishe maeneo yafuatayo ili kushuhudia mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania

    Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya watu wote kila kiongozi na raia atambue wajibu wake na kutekeleza kikamilifu. Maamuzi magumu...
  12. Zainab Katimba: Serikali Kurejesha Mawasiliano Maeneo Yaliyoathiriwa na Mvua

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali inafanya jitihada za kuhakikisha inarejesha mawasiliano katika maeneo ambayo miundombinu ya barabara imekatika kutokana na athari za mvua hasa katika barabara za wilaya ili kuhakikisha barabara hizo zinapitika. Mhe. Katima...
  13. SoC04 Uchumi katika kilimo na maeneo ya kilimo

    Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja na utoaji wa fursa za ajira zaidi ya 75% ya Watanzania. Hali hii inatupa uhalisia na yakini kwamba...
  14. Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  15. KERO Ukatili dhidi ya wakazi maeneo karibu na reli ya SGR

    Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi. Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio wananchi wanategenea kuvuka zimefungwa kwa wire. Ni unyanyasaji na ukandamizaji wa haki za msingi...
  16. SoC04 Tanzania tuitakayo kuhimiza maendeleo maeneo ya vijijini

    Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo wawekezaji wataenda maeneo ya vijijini na kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la...
  17. Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

    Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu. Halafu mbona kama watu...
  18. Msaada: Kwa anayefahamu shule nzuri maeneo ya viwege

    Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu maeneo ya Mwananyamala. Kutokana na hali ilivyo tunatazamia kuweza kuwahamisha iliwawe karibu na...
  19. F

    PreGE2025 Mikutano ya CCM inayoendelea kufanyika kwenye stendi za mabasi ni kinyume na taratibu. Tusigeuze stendi za mabasi kuwa viwanja vya mikutano ya siasa

    Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi ya mabasi mjini Babati mkoani Manyara. Jumatano tarehe 5 CCM wamepanga kufanya mkutano wa hadhara...
  20. Hivi ni kwanini kuna maeneo hapa jijini hakuna maji na watu wamekaa kimya?

    Kinyerezi Kuelekea Saranga kuna tatizo gani? Hili eneo lina mgogoro mkubwa sana si bure. Kucha kutwa watoto, wamama na ndoo za maji kichwani au huku ni nje ya nchi? Au wamekosea nini hawa raia? Bila shaka mtandao wa maji kutokea kimara una kasoro...wahusika fuatilieni. - DOKEZO - Malalamiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…