maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosekana kwa Maji ya Bomba maeneo ya NYANG'HINGI - MKOLANI Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza

    Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika. Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu zilizopo maeneo hayo. Kwa wanafunzi wamekuwa wakipata magonjwa ngozi kutoka matunizi ya maji ambayo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  3. JamiiForums Tanzania MTUWASA: Maeneo ambayo hawajapata maji Mbae Mashariki, Mkandarasi yupo site kuongeza Mtandao wa maji

    TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki. Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  5. JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya ukosefu wa maji maeneo ya Kibaha hadi Kisarawe

    ‎ DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu ‎ Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mazingira kwenye miradi mikubwa, maeneo yanageuzwa dampo

    Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo yaliyopitiwa na miradi mikubwa ya serikali ikiwemo Bomba la Mafuta la TAZAMA na Grid ya Taifa ya Umeme...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  9. JamiiForums Tanzania Natamani Tanzania ingeanza program ya kubomoa slums na kuanza kujenga maeneo kama haya

    Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana. Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu. Serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

    Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi. Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha

    Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Ya Maji maeneo ya Ubungo Msewe na Kimara Baruti

    Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna namna yale maeneo ya dada zetu yamekua sugu sana hasa hawa wa buku mbili

    Kwa masikitiko makuu Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna ulichokifanya huku wewe ukiwa hoi taabani, 1: kuna kila sababu ya kuwaza na kukubaliana kwamba asilimia...
  15. JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo. Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa Morogoro kuna baadhi ya maeneo bei ya nauli ya bajaji imepanda mara 2 na maeneo mengine kwa nusu bei

    Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo waliopandisha hadi mara mbili ya bei ya zamani. Wapo ambao walikuwa wanabeba abiria kwa 500 leo ni 1000 kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  20. JamiiForums Tanzania Hezbollah Waingia ndani ya Galilee Israel na kuteka maeneo

    Wapiganaji wa Hezbollah wameingia ndani ya Mji wa Galile na kuteka mji huo pamoja wana Wanamgambo wa IDF waliojisalimisha kuokoa uhai wao Raia wameshauriwa kukimbia mji huo. 🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…