maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongera Samia kwa dira ya Taifa ya maendeleo 2050

    Tunasoma katika Mithali 29:18 "Pasipo maono, watu huacha kujizuia" Huu ni ukweli usiopingika linapokuja swala la maendeleo ya mtu mmoja mmoja au taifa kwa ujumla. Eneo moja lililotughalimu kama nchi ni kukosekana kwa mwendelezo wa mipango yetu ya maendeleo kutoka awamu moja kwenda awamu...
  2. Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  3. Rostam: Maoni yetu wafanyabiashara yamezingatiwa dira ya maendeleo 2050

    Mfanyabiashara Rostam Aziz kwaniaba ya Sekta binafsi nchini Tanzania Alhamisi Julai 17, 2025, amebainisha kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 ni Dira ya wananchi, akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kwa kusimamia na kuufanya mchakato wa uandaaji wa Dira 2050 kuwa wa...
  4. Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

    Team Kanukuu mambo mengi Amani ya nchi Usalama wa nchi Kuwekeza ktk raslimali watu Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini Utulivu wa kisiasa Kandarasi za ndani kupewa kazi badala ya kuzigawa kwa wakandarasi wa nje Kasema...
  5. Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  6. D

    Hivi kuna haja gani kuwepo kikundi kinachoitwa kikundi cha hamasa kwenye matukio ya Kitaifa kama uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo?

    Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo. 1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu. 2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
  7. W

    Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  8. Nasikitika kuna watu wanajiita great thinker bado wanauziwa uongo kwamba Mbunge analetea jimbo maendeleo. Huu ni uongo mkuu.

    Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa. Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi. Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa...
  9. Mfanyakazi ana hela kuliko mfanyabiashara, but mfanyabiashara ana maendeleo kuliko mfanyakazi tujadili hili

    Mfanyakazi ana uhakika kesho nitapata anatumia yote, mfanyabiashara kisa senti kwake inatoka kwa hesabu ili asiue mtaji. Mfanyabiashara huwaza zaidi kuzidi kuwekeza mfanyakazi huwa zaidi kutumia.
  10. M

    Kusomesha mtoto mpaka ajitegemee ni 20 years. Kama huna Assets Usijiingize gharama mapema ukashindwa kufanya maendeleo mengine kama ujenzi

    Hizi shule za chini hakikisha anasoma ili apande darasa, na ajue hisabati na kingereza na mtafutie tuition nzuri hata kama akisoma cheap schools , ana nafasi ya kuwa vizuri kwenye elimu kama akiyajua vizuri hayo masomo mawili tu. Usije ukajikuta kwa miaka 20 mfululizo unaingia madeni kwa watu...
  11. Dokezo: Nafasi ya Mbunge na Diwani katika Maendeleo ya Tanzania

    Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwepo na mwelekeo unaoonesha kwamba baadhi ya wabunge wanapewa majukumu yanayopita mipaka ya...
  12. Hakuna hata Jimbo moja lenye maendeleo, labda liwe na katiba yake na sera yake zake, ila sio kwa sera hizi. Wajinga tunahadaiwa sana

    Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni. 1. Huduma bora za afya 2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira. 3. Sera nzuri za kufanya biashara. 4. Elimu bora na yenye viwango. 5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii. 6...
  13. Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  14. T

    Watanzania kama hawa wananipa moyo wa kubaki Tanzania kusaidia maendeleo

    Habari wakuu Hizi hoja makini katika video hapo chini, zimenipa moyo wa kuendela kubaki Tanzania. Tupate wananchi wengi namna hii katika kuishauri serikali Muongeaji anaonekana kutoa maoni hayo katika kipindi cha TBC. Watanzania wenye maono na hekima wapo wengi, wasikilizwe. Muda si muda...
  15. PreGE2025 Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi wakagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa Songoro Mwanza

    Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde kwa nyakati tofauti wamefika katika Yadi ya Songoro Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vitano vinavyoendelea kujengwa. Katika ziara hiyo...
  16. PreGE2025 Songea: Serikali yazindua mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa kilomita 60, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Litapwasi, Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Akizungumza...
  17. Wachimbaji wa Shaba waaswa kujiunga na vikundi kunufaika na fursa za maendeleo

    Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), unaolenga kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini ya kimkakati, ikiwemo...
  18. Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  19. Mbunge wako ni nani? Unampa ngapi kati ya 10 kwa maendeleo aliyokuletea?

    Wakuu, Huko X kuna mjadala unaendelea umenivutia nimeona niwaletee huku Swali ni hili, Mbunge wako wa sasa ni nani, na kwa kipindi alichopo madarakani, unampa alama ngapi kati ya 10 kulingana na maendeleo ya kweli aliyoyafanya kwenye jimbo lako? Karibuni
  20. R

    Kuongeza Kasi ya maendeleo, viongozi wazuiwe kula ugali,watumie ngano isokobolewa kwa chakula

    Salaam! Kama unataka kuwa Bora kiakili, uongoze watu vizuri, epuka kula ugali, WEWE na familia yako. Ugali haumpi mtu virutubisho vizuri kwenye ubongo ukilinganisha na ngano iisiyokobollewa. 1.Kilimanjaro wanatumia ndizi,tizama UWEZO wao kufikiri. 2. Bukoba na Kagera,chato, chakula ni ndizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…