maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ya kijamii: Changamoto na mapendekezo yake

    Uhali gani mwanafamilia wa JF Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji. Kabula ya yote ni vyema tujue maendeleo ya kijamii ni nini? kwa ufupi tu maendeleo ya kijamii ni hali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    UJASIRIAMALI ni mchakato endelevu unao ambatana na Imani juu ya kujikomoa kiuchumi kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Nchi nyingi duniani hasa mataifa makubwa toka miaka ya 1960 zimepata kuendelea kutokana na sera tofauti tofauti zilizoanzishwa na serikali zao juu ya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Vyombo Huru vya Habari katika Maendeleo ya Jamii

    Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu...
  4. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Platform ya Siasa Afrika sio chaguo sahihi la maendeleo kwa vijana

    Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
  5. JamiiForums Tanzania Mabadiliko kwenye nyanja za Uchumi, Afya, Biashara, Afya Maendeleo ya Jamii, Utawala Bora na Uwajibikaji, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia

    Serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza linatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa ,ukusanyaji wa kondi ,elimu Bora ,afya nk Uchumi: suala la uchumi linatakiwa liangaliwe kwenye jicho la karibu na elimu itolewe kwa walipa Kodi Ili kukuza...
  6. JamiiForums Tanzania Kisingizio cha kutuletea maendeleo isiwe sababu ya kutunyima katiba itayoleta haki kwenye Taifa letu

    Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo tayari kimeshapikwa ni suala la kupakua tu na kuweka mezani. Rasimu ipo na ilishatoa mapendekezo...
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

    Connection nyingi za kazi mara nyingi utazikuta Bar. Ukiwasikiliza walevi mazungumzo yao huwa ni ya maendeleo tu kama ujenzi, harusi, miradi mbalimbali n.k Kazi yangu ya mwisho (temporary) nimeipatia Bar baada ya kuhangaika for 4 yrs. Na kazi inayofuata (naiombea iwe) imepatikania kwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) hamuwatendei haki waonyeshaji/wafanyabiashara kwa kuchelewa kufungua mabanda

    Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa tatu na dakika zilizozosonga sana. MADHARA YA KUCHELEWA KUFUNGUA Waonyeshaji wanakosa muda wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Benki zinatakiwa kuwa kichocheo kwa maendeleo ya sekta binafsi

    Katika miaka ya hivi karibuni tatizo la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, na serikali zimekuwa zikifanya juhudi katika kuhimiza vijana kutotegemea ajira za serikali au makampuni peke yake, kutokana na ufinyu wa idadi ya ajira kwenye maeneo hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imesaini hati ya makubaliano ya jumla ya shilingi milioni 420 ya ujenzi wa sanamu la Hayati John Pombe Magafuli, na ukarabati wa kumbi kubwa za kisasa kwenye maonyesho ya sabasaba ya 45. Mkurugenzi wa TanTrade Rutageruka Sabi amesema kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi za vyama sio "serious documents" kuongoza nchi katika maendeleo

    Tanzania haihitaji kuchagua kiongozi wala kuongozwa na ilani ya chaguzi ya chama bali sera chache za kimkakati za kitaifa zilizoandaliwa kwa makini na wataalam wenye uzoefu wa eneo husika. Badala ya ilani ya uchaguzi ya chama inayoorodhesha kila kitu kutoka ngoma, uganga n.k mpaka mambo ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

    Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia. Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
  13. JamiiForums Tanzania Shaka: Acheni siasa za kitoto za kutoa maagizo na mikwara kwa Rais, jikiteni kwenye Maendeleo

    Katika Mkutano uliofanyika jana huko Zanzibar Ndugu Shaka Hamidu Shaka amesisitiza watanzania kumuunga mkono Mama Samia na Dkt Hussein Mwinyi katika kusukuma maendeleo na kuimarisha uchumi. Pia alisema: "Niwasihi wanasiasa nchini wajikite kwenye siasa za maendeleo kwa kutoa fikra na mawazo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu Vyama vya Ushirika na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania

    Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania. Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao? Pia kwanini Tume ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Demokrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?

    Bila shaka majibu yatapatikana hapa, Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China? Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja...
  17. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya TEHAMA: Kumbe waliodhani ni Wizara ya VPN walikosea

    Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo. Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang machoni mwangu: Ubunifu na uvumbuzi unavyopewa kipaumbele katika maendeleo ya China

    Wasanii na wabunifu wa mambo ni watu muhimu katika jamii yoyote ile. Kwani sanaa hutambulisha vitu na mambo mbalimbali ya watu wa kabila au jamii fulani. Katika matembezi yangu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur nimefika hadi kwenye kituo cha ubunifu wa sanaa za mikono cha Qifang mjini...
  19. JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Rais Samia kwa maendeleo ya nchi ni upi?

    Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100. Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni mpango mkakati wa kufikia malengo fulani. Je, tumeweza kujua Rais Samia ana malengo gani na nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…