maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapare mwaka 1951 walikuwa na maendeleo kuliko sasa (2021)

  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba chama cha upinzani kikishika madaraka kitaleta maendeleo ni kujidanganya!!

    Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
  3. JamiiForums Tanzania Mnoifahamu Katoro, tafadhali nijuzeni kuhusu Ukuaji, Maendeleo na Matarajio

    Kwa miaka ya karibuni, kuna miji imeshika kasi katika ukuaji wa kiuchumi, fursa na population kupelekea hadi uhitaji mkubwa wa miundobinu. Miji kama Tnduma, Njombe, Kahama na Dodoma imeonesha viashiria vya ukuaji wa kasi. Lakini hivi karibuni kumetokea mji mwingine unaozungumuzwa sana, Katoro...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Udhibiti wa Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo Katika Nchi ya Kufikirika (isiyokuwepo kiuhalisia)

    Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:- Ili kudhibiti matumizi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kubeza maendeleo yaliyoletwa na CCM ndani ya miaka 60 ni kukosa busara. Tulipata uhuru tukiwa nyuma sana kimaendeleo

    Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini. Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
  6. JamiiForums Tanzania Bei kubwa vifurushi vya data mwiba maendeleo ya kidigitali Tanzania

    📍 Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya interneti nchini, huku GB 1 ya Data ikipatikana kwa zaidi ya dola 1.3 kumesababisha kupungua kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Chakwera: Wananchi msiwalalamikie Wanasiasa, wajibikeni kwenye suala la maendeleo ya Nchi

    Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amewaomba Wananchi kuwajibika linapokuja suala la Maendeleo ya Taifa, badala ya kupeleka madai hayo kwa Wanasiasa Amesema anapokea mamia ya SMS kwenye simu yake kutoka kwa Watu wanaomtaka awasaidie kulea Familia kwasababu tu yeye ni Rais "Lazima tujitibu na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii, Tanzania imefikia mwisho wa kupiga hatua za maendeleo, kama hatutatumia hiari tutakaribisha tunakaribisha mapinduzi

    Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wowote kati ya demokrasia na maendeleo

    Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa. Kwa maoni yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Sidhani kama Tanzania itaendelea katika uhai wetu

    Maendeleo ni ya watu, na si vitu. Maana hiyo ni mpaka hapo asilimia 80+ ya Watanzania watakapomudu kula milo mitatu ya wastani, kuwa na makazi yanayofaa binadamu kuishi, kuwa na huduma za elimu bora, afya, maji na usafiri wa kukidhi kwa wastani. Zaidi ya hayo, kuwa na uhuru wa kutonyanyaswa na...
  11. JamiiForums Tanzania Maoni: Haya ndiyo makundi/makabila yenye maendeleo Tanzania

    Nipo tayari kusahishwa, Naomba nieleweke, hizi ni tathmini na sio ukabila, Tanzania hatuna ukabila 1. Wazanzibari - kuna mgao katika madaraka, vyeo, ajira, n.k kati ya bara na znz kwasababu ya muungano. kwa hio usidhani wanapendelewa ukiwakuta vyeo vya juu polisi, jwtz, usalama , ubalozi...
  12. JamiiForums Tanzania Mko wapi mliodai maendeleo ya watu?; Rais Samia kayaleta

    Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu. Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine. CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China ni manufaa kwa dunia nzima

    Na Fadhili Mpunji Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China barani Afrika, waendelea kuchangia maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya watu

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
  16. JamiiForums Tanzania Bongo Movie tunaenda au tunarudi?

    Habari wakuu, Najua kuna watu wamejtoa kabsa kufatilia Bongo Movie lakini embu tujadili kidogo mana hakuna namna mtoto hata akiwa taira huwezi msusa. Nimejaribu kukaa kuwaza kwanini Bongo Movie haipandi kimataifa. Na hizi ndo sababu nilizoziona. 1. Directors Baadhi ya madirector wamekua...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni hizi; 1. Elimu yetu ni duni sana kwa maana ya maudhui (contents) na inazalisha watu wenye maarifa...
  19. JamiiForums Tanzania CAG 2019/20: Hati za Ukaguzi katika miradi ya maendeleo

    Hati za Ukaguzi Zilizotolewa Katika Miradi ya Maendeleo Kwa mwaka 2019/20, CAG alikagua jumla ya miradi ya maendeleo 290 na kutoa aina mbill za Hati za Ukaguzi ambapo; alitoa Hati Zinazoridhisha kwa miradi 275 sawa na asilimia 95 na Hati Zenye Shaka kwa miradi 15 sawa na asilimia 5. Hati...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kuwa kula kwa kura ni kuchelewesha maendeleo

    NA FADHILI MPUNJI Katika kipindi cha miongo mitatu hadi minne demokrasia ya China imekuwa inafuatiliwa kwa kina na wachambuzi wa maswala ya kisiasa. Ufuatiliaji huo umetokana na miujiza ya kiuchumi iliyofanywa na China, na wachambuzi wanajaribu kujua ni kipi China imekifanya na kufikia hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…