maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo Achangia Ujenzi wa Maabara za Sayansi Kwenye Sekondari za Musoma Vijijini

    MDAU WA MAENDELEO ACHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumatano, 8.3.2023, mmoja wa Wadau wa Maendeleo hapa nchini, NGUVU MOJA SECURITY SERVICES amechangia Tsh 3,520,000 (Tsh 3.52m) kwa ajili ya ujenzi wa MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI (physics, chemistry...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  5. JamiiForums Tanzania Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Kichwa kinajieleza, hapa ningependelea tuweke video, picha na hata maelezo yanayohusu miradi inayotekelezwa na kila hatua iliyofikia ili kujuzana wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunaelekea. Kama ambavyo tunafanya kwenye ile thread ya Nairobi vs Dar es salaam. Naamini kuna watanzania wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia 75 ya miradi ya maendeleo Njombe yakutwa na kasoro baada ukaguzi wa Takukuru

    Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi. Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
  7. JamiiForums Tanzania "Tunataka maendeleo ya watu badala ya vitu," kauli ya CHADEMA ambayo imeshafanyiwa kazi na Rias Samia

    Mwaka 2020 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu kulikuwa na kauli maarufu sana ya CHADEMA kwamba wanataka maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu. Hoja yao ilimaanisha kwamba serikali ya awamu ya tano ilijikita kwenye miradi ambayo ilikuwa haimgusi mwananchi moja kwa moja. Miradi kama ujenzi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kushughulika na Simba na Yanga kisiasa. Wekeza kwenye maendeleo ya Watanzania

    Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kujiita chama cha "Demokrasia na Maendeleo." Demokrasia na maendeleo huwa havikai pamoja

    Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee. India imeachwa pakubwa sana na China kwa maendeleo licha ya India kuitwa 'World's largest...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
  11. JamiiForums Tanzania Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

    Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k Anafanya Kazi 8--9 hours Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje Ana Ist used ya Mwaka 2005 Kaoa ana watoto 2 au 3 Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka Kijana bodaboda Ambaye Hana nyumba Wala gari Ambaye hajaoa Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunatarajia kuzalisha MW 5,000 mwaka 2025

    Leo katika hafla ya utiaji saini mikataba yenye thamani ya shilingi Trilioni 1.9 ya kuongeza usambazaji wa umeme kwa wananchi na maeneo ya kimkakati. Waziri wa Nishati January Makamba alisema Serikali inamkakati wa kuongeza uzalishaji umeme "Tunaposema tunazalisha umeme wa Megawati 1,700 na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Rais Samia hakuna kilichosimama

    UVCCM Taifa 13 February, 2023 Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea. Ujenzi umefikia asilimia 22.67%...
  14. JamiiForums Tanzania Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

    Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu. Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa ya waziri wa Ardhi kuhusu ulipaji wa kodi ya pango la ardhi na maduhuli mengine ya sekta ya ardhi 7 Februari 2023

    Ndugu, Waandishi wa Habari Mtakumbuka kuwa katika Mwaka wa Fedha 2022/23, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani alitoa msamaha wa riba ya malimbikizo ya pango la ardhi ambapo wananchi walio na malimbikizo walipewa nafuu ya kulipa deni la msingi ili wasamehewe...
  17. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Samia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na utoaji wa huduma za kijamii, na katika Sekta mbalimbali

    Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeshuhudia mafanikio makubwa katika kuimarisha miundombinu hususan barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, huduma za kiuchumi na kijamii, ujenzi wa madarasa, hospitali, zahanati na vituo vya afya, huduma za maji, utawala bora, mapambano...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini kwenye fedha inazoleta kwa ajili ya miradi ya maendeleo

    Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri. Miradi mingi haijakamilika na pesa zote zimetafunwa na wajanja na bado wako maofisini mpk sasa. serkli haitumi...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ukitaka wafanyabiashara wasikuhujumu washirikishe katika Mipango yako ya Maendeleo ya kitaifa

    Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasha moto wa Maendeleo usiozimika

    Ndugu zangu watanzania Rais Samia Amewasha moto wa Maendeleo Usiozimika, Ni Moto katika Elimu, Afya, Miundombinu, huduma za maji Safi na salama, umeme mpaka vijijini, Moto katika miradi ya kimkakati, Moto katika utalii, uwekezaji na Biashara, Amewasha Moto katika kilimo. Ni Moto uwakao pasipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…