maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani ampa tano Rais Samia Miradi ya Maendeleo

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Dkt Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi kwa wakati. Amesema kuwa Rais Samia amekuwa kinara kuhakikisha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kisiasa hauwezi kuficha ukweli kwamba China na Afrika zinatafuta maendeleo pamoja

    Hivi karibuni, mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa onyo tena kuhusu hatari ya baadhi ya nchi zinazoendelea kushindwa kulipa madeni, nyingi zikiwa ni za Afrika. Hivyo baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani vinachukua fursa hiyo kurudia tena kile kinachoitwa “mtego wa madeni”. Mathalan...
  5. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FCS: Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo na uzalishaji

    Mkurugenzi wa Foundation For Civil Society (FCS) Francis Kiwanga, amesema kuwa Teknolojia inaweza kuwa chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo pamoja na kuwawezesha Watanzania kuongeza uzalishaji, kutafuta masoko na hatimaye kukuza vipato vyao. Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Mchango wa utawala bora na uwajibikaji katika maendeleo endelevu ya nchi

    Katika nchi ya Tanzania, uwajibikaji na utawala bora ni mada muhimu katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Uwajibikaji unahusisha uwezo wa viongozi na taasisi za umma kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na uwazi, huku wakilinda maslahi ya umma. Utawala bora, unahusisha uwajibikaji...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za Kutokomeza Ufisadi na Kuleta Mabadiliko ya Kiuwajibikaji na Kiutawala kwa Maendeleo Shirikishi ya Nchi Yetu

    Samahani Andiko limefutwa!
  8. JamiiForums Tanzania Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!. Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Chachu ya maendeleo ni Utawala Bora

    Kila kukicha tunasikia neno Utawala bora, na ni ndoto ya kila taifa kutamani kuwa na utawala bora. Lakini ndoto hiyo imebakia kuwa kama ndoto ya mchana kutokana na ubadhilifu unaofanywa na viongozi walioko madarakani. Hivyo basi, wananchi hukosa imani na viongozi wanaowachagua kila iitwapo leo...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Akagua Miradi ya Maendeleo Karatu

    Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Karatu, Mhe. Daniel Awack akiambatana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Swai wakiwa katika Ukaguzi wa mradi wa scheme ya umwagiliaji bonde na Eyasi uliotengewa fedha kiasi cha Tsh bil 38. Mbunge Zaytun Swai ametoa Shukurani kwa Serikali ya awamu ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usimamizi Bora ni Ufunguo wa Maisha

    Usimamizi ni kitendo cha kuweka watu pamoja ili kutimiza malengo na madhumuni yatakakinayo. Usimamizi unajumuisha Mipango, Maandalizi, Mahusiano, Majukumu n.k baina ya mtu mmoja au kikundi cha watu au zaidi. Usimamizi bora ni uwezo wa kuyatenda Mambo yote haya katika Hali ya ubora. Mary Parker...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa - Hakuna Kata Ambayo Haijapata Mradi wa Maendeleo Jimbo la Igunga

    MBUNGE NGASSA: "HAKUNA KATA AMBAYO HAIJAPATA MRADI WA MAENDELEO" "... Ilani ya Chama (CCM) inatekelezwa kwa ufasaha ndugu zangu, Chini ya uongozi wa Mama Yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..." "... Jimbo letu lina Kata Kumi na Sita...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu janja ni kuona mbali

    Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha? Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga kutufunulia vitu vile ambavo tusingeweza ona kwa sababu ya giza. Siongelei kujumuisha watu wote ila...
  14. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kutumia takwimu za matokeo ya sensa kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Ujenzi wa Taasisi Imara kwa Maendeleo ya Taifa

    Utawala Bora na Ujenzi wa Taasisi Imara kwa Maendeleo ya Taifa Utangulizi Maendeleo endelevu ya taifa ni lengo kubwa linalopatikana kupitia utawala bora na ujenzi wa taasisi imara. Taifa lenye utawala bora na taasisi zilizoimarika huweka misingi thabiti kwa maendeleo ya jamii na kushughulikia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwajibika kwa serikali katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu

    KUWAJIBIKA KWA SERIKALI KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU Utangulizi Katika enzi hii ya maendeleo, dunia imekabiliwa na changamoto kubwa za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yameanzisha dira mpya ya kufikia ustawi wa kijamii na maendeleo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora na kupambana na rushwa kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi

    UTAWALA BORA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI Utangulizi Utawala bora na kupambana na rushwa ni masuala muhimu sana katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika jamii. Makala hii inakusudia kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kupambana na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwezesha uwajibikaji katika taasisi za kiserikali kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi Uwajibikaji katika taasisi za kiserikali ni muhimu sana katika kuleta maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii inalenga kuchunguza umuhimu wa kuwezesha uwajibikaji katika taasisi za kiserikali na jinsi utawala bora unavyoweza kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Tutajadili pia...
  19. JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Kamsamba Amepongeza Rais Samia na Mbunge Condester kwa Kupeleka Milioni Mia Tisa za Miradi ya Maendeleo

    DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia tatu muhimu zinazoweza kutusaidia katika kutatua changamoto na kutuletea maendeleo

    TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO. TEKNOLOJIA NI NINI? Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha ya kigiriki “technología“ lenye maana ya maarifa ya ujuzi, sanaa na ufundi yaliyowekwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…