maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. dr namugari

    Ile kauli ya Hayati Magufuli ya kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo ni ya kweli kabisa

    Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika mbali kuzusha uongo ili mradi tu wazusshe taharuki katika jamii Embu fikiria jana train yetu pendwa ya...
  2. Mhafidhina07

    UCCM hufubaza na kuchakaza maendeleo wanayoleta wenyewe

    Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na Nepotism/udugu/umimi(UCCM). Kuna matukio mengi ya kuhujumu rasilimali za Taifa,miundombinu na...
  3. Waufukweni

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuandaa sera za matumizi ya Akili Mnemba (AI) kwa maendeleo ya elimu nchini

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza kutengeneza sera na miongozo ya matumizi ya teknolojia ya akili mnemba ili kuhakikisha teknolojia hiyo inatumika kwa faida. Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Lugano Kusiluka, amesema hayo leo Jumatano, Desemba 4, 2024, wakati wa kongamano la 15 la...
  4. kmbwembwe

    Je, tumekuwa Rwanda kwa kutafuta vyeo vya kimataifa kama ni miradi ya maendeleo?

    Nchi ndogo kama Rwanda mikakati yake kutafuta maendeleo inaweza hata kumstaajabisha mtu. Unakuta wako kila umoja wa ushirikiano lakini ni kwa ajili ya vigogo wao kupata ulaji. Wasipopata mambo yanakua sio mazuri. Hebu fikiri, wapo commonwealth, na ufaransa ilipowafuatilia ili warudi umoja wa...
  5. Crocodiletooth

    Ipo Jamii ya rika fulani ambayo huwa ni kikwazo kweli kwa maendeleo ya generation ya nyakati hizi

    YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti zao Ikumbukwe mara kadhaa mzee Magoma amekuwa akiuita uongozi wa Yanga kukaa nae chini lakini...
  6. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar Wapongeza Miradi Mikubwa Ilivyoleta Maendeleo Zanzibar

    Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
  7. DaudiAiko

    Shughuli za maendeleo za serikali ya Rais Samia ni short-term na hazilengi kukuza uchumi wa nchi

    Wanabodi, Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
  8. Kirchhoff

    Tanzia: Afisa Maendeleo ya Jamiii Ilala Bi Rhoda Mwanyangala apata ajali na Kufariki

    Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
  9. M

    LGE2024 RC Kagera, Fatma Mwassa atembelea vituo vya kura kuangalia maendeleo

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
  10. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Maendeleo haya Chama, wekezeni katika kiongozi bora

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora badala ya kushikilia itikadi za vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado ametoa...
  12. Political Jurist

    LGE2024 Shemsa Mohamed: Chagueni CCM tusonge mbele

    ♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na tarehe 25 Novemba, 2024 alipiga kambi katika Jimbo la Kisesa kupiga kampeni za kuhamasisha wananchi...
  13. Political Jurist

    LGE2024 Shemsa asisitiza umuhimu wa Uchaguzi katika maendeleo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Ndg.Shemsa Mohamed ameendelea na ziara yake yenye jina la Siku Saba za Moto ambapo tarehe 25 Novemba, 2024 aliweka kambi katika Jimbo la Kisesa akitembelea Kata ya Bomani ,Kata ya Isengwa na Mwasengela. Ndg.Shemsa amekutana na kuzungumza na...
  14. Rorscharch

    Nimeanza Kuamini Ulegelege Wetu Waafrika Kama Bara Katika Maendeleo Unatokana na Wastani wa IQ ya Umma Kuwa Chini Sana (Sehemu ya II)

    Makala hii ni muhtasari mpana wa sehemu ya kwanza ya mjadala kuhusu mchango wa wastani wa IQ katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya bara la Afrika. Katika sehemu ya kwanza, tulichambua jinsi wastani wa IQ kati ya makundi ya Mongoloids, Caucasoids, na Negroids unavyoweza kuathiri maendeleo...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Nyalandu: CCM ikiyumba Tanzania itadorora, Maendeleo ya kweli yataletwa na CCM

    Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema Maendeleo ya kweli yataletwa na Chama cha Mapinduzi Akiwahimiza Wananchi kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na Chama hicho Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Akizungumza na Wananchi wa kata ya Msisi Wilaya ya...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Mary Chatanda: CCM ina Imani kubwa na Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa. Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
  17. Mindyou

    LGE2024 Amos Makalla: Mafanikio yaliyoletwa na CCM nchini hayahitaji tochi

    Wakuu, Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni. Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM hayahitaji tochi na ndio maana itashinda kwasababu watu wana imani nayo. Makalla alisema kuwa...
  18. Political Jurist

    Shemsa ampongeza Rais Samia kwa kusongesha maendeleo ya taifa mbele

    Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
  19. Waufukweni

    LGE2024 Makambako: Wagombea Uenyekiti Mwembetogwa Wajipambanua kwa Ajenda za Maendeleo

    Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaofanyika November 27 mwaka huu.
  20. OLS

    Umasikini na Maendeleo 101

    Sina shaka na ufahamu wa umasikini alionao Rais juu ya uchumi CV yake inaonesha amesoma Economic Development. Naamini alikuwa anawachezea shere wahariri kwa kuwachanganya kidogo, bahati mbaya uelewa juu ya umasikini waliokuwa nao wahariri ulikuwa na walakini hivyo wakashindwa kumrudishia hoja...
Back
Top Bottom