maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
  3. JamiiForums Tanzania Usiku wa TUZO za wadau wa maendeleo wilayani Biharamulo

    SIsi wadau wa maendeleo wa biharamulo tumekubaliana kwa kauli moja kuwa mbunge wetu Eng Ezra John Chiwelesa lazima tumpe tuzo kwa kazi kubwa aliyoifanya jimboni 2020-2025. Maendeleo yaliyopatikana hatukuwahi kufikiria ,uwepo wa maji ,vituo vya afya, ujenzi wa shule ,barabara za lami za...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania tunafikiri maendeleo ni kuwa na hela tu mfukoni kumbe hata maboresho ya huduma ni maendeleo

    Mfumo wa mahakama ni mzuri Sana Africa nzima tuko vizuri haya njoo kwenye huduma za maji.Tanzania tunaongoza kwa kusambaza maji vijijini..ndo maana baadhi ya Wazee hawapendi kusomeka TASAF kama Kaya maskini.
  5. JamiiForums Tanzania chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

    Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na...
  6. JamiiForums Tanzania BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kuandika msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili

    Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
  8. JamiiForums Tanzania Hatupaswi Kushangilia Umeme Unavyosambaa kwa Kasi Vijijini, Nyumba za Nyasi Zinavyopungua Idadi, Kutawanyika Kutafuta Hela

    Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
  9. JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sekta ya AI wiki hii: Udanganyifu, Maendeleo na Changamoto

    Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
  11. JamiiForums Tanzania Eng Chiwelesa tunaweka vituo vya kuchotea maji Biharamulo, maji ni maendeleo

    Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano . Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria Wananchi ambao ndio...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ndio wabunge ving'ang'a wanaotaka kuzeekea bungeni, kwani Wana hisa pale mjengoni??

    Hawa ndiyo wabunge wenye muda mrefu bungeni, mtu amekaa miaka 30 ila majimbo yao yana shida ya maji, umeme, changamoto za kilimo n.k. Nadhani ni muda sasa wapumzike. William Lukuvi George Huruma Mkuchika Mussa Azzan Zungu George Boniface Simbachawene Job Ndugai Hussein Nassor Amar Jason...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  15. JamiiForums Tanzania TEC mbona hamtoi updates za Maendeleo ya Kiafya ya Padre na Mwalimu wangu SAUT (2006-2009) Kitima?

    Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
  16. JamiiForums Tanzania Vipi maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma?

    Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane. Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je, uwanja huo haupo katika plan za AFCON? Pia nina wasiwasi sana hizi ziara za uwanja wa Arusha...
  17. JamiiForums Tanzania Msingi wa Ilani

    "Maamuzi ya kisiasa na ahadi za vyama vya siasa lazima yajengwe juu ya uhalisia wa maisha ya wananchi, unaoonyeshwa kupitia tafiti na takwimu, ili sera zitakazopendekezwa ziwe za kutekelezeka, zenye tija na zinazogusa uhalisia wa changamoto." Alloyce, P.R.
  18. JamiiForums Tanzania Waarabu wameleta maendeleo, uungwana na ustaarabu Zanzibar

    Wapenzi wanajamii Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Sisi wananchi tumekataa agenda pandikizi tunataka kusikia agenda za maendeleo!!

    Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita. Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati. Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine. Tunataka kusikia...
  20. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awashukia wanaoongelea utajiri wake, kwamba nisimamie maendeleo ya watu wengine nishindwe kusimamia maendeleo ya familia yangu

    Akionekana Kumjibu Mwanaharakati wa Kitanzania anayeishi Nchini Marekani Mange Kimambi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amesema ni wajibu wake pia kusimamia maendeleo yake binafsi kando ya utumishi wake kwa Umma, Akiwataka watumiaji wa mitandao ya Kijamii kujadili maendeleo badala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…