maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kweli Mbowe ni gwiji wa siasa. Atabadili jina la chapa (brand name) ya chama hicho kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Umma (CHADEMAU)

    Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
  2. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Kwanini Hatuwezi Kupata Maendeleo au Baraka

    Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine. Iko hivi. Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania SACP Ramadhani A. Mungi: Maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani yanaletwa na Vijana

    Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tujue maendeleo ya kiafya ya Fr. KITIMA

    Mlio karibu na mahali anapo hudumiwa mtupe mrejesho wa maendeleo ya afya yake maana kumekuwa na ukimya wa maendeleo ya afya yake.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya misaada ya maendeleo kwa Tanzania toka Ulaya kuanzia 2015-2025 na athari tutakazopata ikiwa itasimamishwa

    Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa mradi wa maendeleo unapokamilika kusubiria uzinduliwe ndio utumike?

    Miradi mingi inapokamilika husubiria kiongozi flani kuzinduliwa ,sawa ni jambo sahihi kuweka alama ya kumbukumbu ya kihistoria lakini sioni kama ni sahihi kuzuia huduma kwani ni kukosa maana sahihi ya malengo mahsusi ya MRADI. JE wewe ipi mbongo yako juu ya hili
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

    Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama. Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo likawekwa pendekezo la kukijenga vizuri. Kuna kinachoendelea ?
  9. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wanaobeza maendeleo ya Dar es salaam hawajui tulikotoka

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla akizungumza na wakazi wa Temeke Aprili 30.2025 amewashukia wale wote wanaobeza maendeleo ya jiji la Dar es Salaam, kwa kusema kuwa watu hao hawajui historia ya jiji hilo na hatua ya kimaendelea iliyopigwa kuanzia kipindi cha...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, yeye ndiye anayetuletea maendeleo

    Kuna watu wakikusikia unamtaja rais samia wanakereka, hakuna namna yeye ndiye anayetuletea maendeleo katika taifa letu" - Kiliba, Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Bwiregi wampongeza Sagini kwa Sh Bilioni 1.5 iliyotumika kwenye miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Bwiregi wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini kwa kufanikisha Bilioni 1.5 ambayo ilitumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Akizungumza kwenye mkutano na wajumbe wa CCM na wananchi katika Ziara ya Mbunge kwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Eti, Pana maendeleo yawezayo kupatikana nje ya sanduku la kura?

    Salaam! Maendeleo ni kupiga hatua moja ndogo kwenda hatua ya juu Bora zaidi, sasa tujiulize, Sanduku la kura likinajisiwa, akaingia kiongozi Mkuu asiyetokana na ridhaa ya wananchi, Nini kitatokea? Wabunge wakiingia kwa kunajisi sanduku la kura, wapate wapi mawazo na hoja za wananchi ikiwa...
  15. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Ni maendeleo au Huduma ?

    Mjadala kuhusu maendeleo ni mtambuka sana. Watu wamegawanyika juu ya dhana hii, wapo wanaodhani maendeleo ni upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile hospitali, barabara, umeme, elimu nk inatosha kuwa kipimo cha maendeleo (maendeleo ya vitu). Wapo pia wanaodhani maendeleo uwezo wa watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maswa:Kiongozi anayeingilia majukumu ya Walipafedha ni adui wa Maendeleo.

    Katika nchi inayohitaji maendeleo ya haraka kama Tanzania, kila sekunde ya ufanisi ni hazina, na kila senti ya umma ni dhamana ya kizazi kijacho. Walipafedha wa taasisi za serikali wamewekwa kwa dhima ya kuhakikisha rasilimali hizi zinasimamiwa kwa weledi, kwa mujibu wa sheria. Lakini leo...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ukristo ulivyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya Afrika?

    Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA. Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Bollywood yawachonganisha waislamu na mabaniani huko India.Wanataka kuifuta historia iliyoandikwa na waislamu iliyoiletea maendeleo taifa hilo

    Dini ya uislamu katika usasa wake iliingia bara hindi punde tu baada ya utume wa Muhammad saw.Hiyo ilikuwa ni karne ya 7.Baada ya hapo wakaingia waislamu kwa makundi kutokana na sababu mbali mbali. Waislamu walivutiwa mno na tamaduni za watu wa eneo hilo kuanzia dini zao na aina ya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Endeleeni kuota maendeleo enyi wadanganyika

    So long tumeamua kuwa watu wenye akili katika nchi are not fit for the office, na kila wakijitokeza,wote rulling party na opposition tunaungana kuwapiga vita. Basi tuendelee kukaa kwa kutulia. Kwa kifupi Wajinga Nchi hii wamefanikiwa kuwathibiti werevu.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
Back
Top Bottom