madawati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Shule ya Sekondari Buhanda: Wanafunzi wanarudishwa nyumbani kisa madawati hayatoshi

    Mkoa wa Kigoma, Jimbo la Kigoma Mjini – Wanafunzi waliokuwa wameanza kidato cha kwanza hivi karibuni katika Shule ya Sekondari Buhanda baadhi yao wamerudishwa nyumbani baada ya kushindwa kupeleka madawati. Tatizo hilo limetokana na uhaba mkubwa wa madawati, jambo linalozidisha changamoto kwa...
  2. Blasio Kachuchu

    CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  3. Boda boda msomi

    KERO Shule nyingi za Kata hazina Miundombinu wala Madawati

    Habari za muda huu watanzania wenzangu. Kuna jambo ambalo kiukweli halipo sawa ukilinganisha umri tulionao kama nchi kutokea tupate uhuru kutoka kwa mkoloni mpaka sasa. Leo nataka nizungumzie suala la uchakavu, ufinyu au hata kukosekana kwa baadhi ya miundombinu muhimu hasa kwenye baadhi ya...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Wanafunzi wa shule ya msingi Komsala wakaa chini kwa kukosa madawati

    Kupitia mitandao ya kijamii imeenea video inayowaonyesha wanafunzi wa shule ya Msingi Komsala, iliyopo kijiji cha Komsala Kata ya Kwamatiku,, wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambao wamekuwa wakikaa chini huku wachache wakikaa katika madawati. Sio wanafunzi pekee lakini la hasha katika kufuatilia...
  5. Just Pray

    Kagera: TFS yachangia madawati 90 na viti kwa shule za sekondari

    Jumla ya madawati 90 na viti vimetolewa kwa shule za sekondari na Wakala wa Uhifadhi Misitu Tanzania TFS wilayani Misenyi mkoani Kagera ili kuweza kuboresha upatikanaji wa Elimu kwa wanafunzi. Akikabidhi madawati hayo Kamishina Kamanda wa TFS Kanda ya Ziwa Ebrantino Mgiye amesema kufanya hivyo...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Tanga: CCM yachangia madawati Shule ya Sekondari Mgwashi

    Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga

    Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri! =================== Mbunge wa Mkuranga mkoani...
  8. Waufukweni

    Lindi Mwambao watoa msaada wa Madawati, Viti vya Walemavu, na Matairi

    Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya shilingi 19,700,000 ikiwa ni kutekeleza msingi wa saba wa Ushirika wa kuisaidia jamii. Hafla ya...
  9. N

    DOKEZO Shule ya Msingi Irunda (Sengerema - Mwanza) ina Wanafunzi 900 ila madawati yapo 60

    Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni. Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
  10. Calyx24

    Watengenezaji wa madawati ya shule

    Habari Kulingana na mahitaji ya furniture za mbao na chuma katika mazingira yetu ya kazi, ofisini, mashuleni, vyuonI, taasi mbali mbali na majumbani Sisi kama wabobezi na watengenezaji wa haina mbali mbali ya viti na meza kwaajili ya wanafunzi kwa bei zifuato kiti na meza kwa sh 100,000 kiti...
  11. Roving Journalist

    Halmashauri ya Kibaha yasema imetumia Milioni 410 ya Mapato ya Ndani kununua Madawati na Meza 4000

    Halmashauri ya Mji Kibaha imeendelea kutekeleza kwa Vitendo maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Sekta ya Elimu baada ya kufanya hafla ya kugawa Madawati 2000,Viti na Meza 2000 zenye thamani ya Shilingi 410,000,000 zilizotokana na Mapato ya ndani...
  12. K

    RC Songwe apongeza msaada wa magodoro 60 kwa Wagonjwa, vitanda 40 vya Shule na madawati 100

    Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga sehemu ya faida wanayopata kurudi kusaidia jamii, ametoa pongezi hizo leo Oktoba 22...
  13. B

    Waziri Ridhiwani Kikwete apokea msaada wa vifaa tiba na madawati kutoka NMB

    Aziita sekta binafsi kushirikiana na serikali kutatua changamoto za wananchi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani amepokea msaada wa vifaa tiba kwa...
  14. Msitari wa pambizo

    Unatoa mil 50 kuwapa Yanga/Simba wakati kuna watoto wanakaa chini kwa upungufu wa madawati.

    This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda...
  15. Yoda

    Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
  16. G

    PreGE2025 Makonda apandikiza waigizaji kwenye madawati yake ya msaada wa kisheria ili kumpa kiki

    Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
  17. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge Cherehani atoa Madawati 975, awasihi wanawake kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili kuimarisha sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na...
  18. Leak

    Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

    Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa! Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi? Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii...
  19. H

    MADAWATI MASHULENI

    Najua kanda ya kaskazini hasa Kilimanjaro suala la wanafunzi kukaa chini madarasani waliachana nalo takribani miaka 40 iliyopita Kama unafaham Shule ya msingi yenye hiyo changamoto ya wanafunzi kukaa chini, taja jina la shule, Kijiji, Kata, Wilaya na Mkoa iliyopo pengine inaweza kusaidika
  20. B

    Dkt. Samizi ashiriki kupokea madawati 50, washuhudia mamilioni ya Rais Samia ujenzi wa shule

    Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
Back
Top Bottom