• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

madame s

 1. princemikazo

  Jamaa akamatwa kwa kufanya ngono na kichaa

  Pichani ni chalii mwenye miaka29 amenyakwa na polisi nchini Zambia kwa kumnyandua mdada ambae ni mgonjwa wa akili. Kwa mujibu wa shuhuda ambae ni jirani wa hiyo njemba amesema sio mala ya kwanza ni kawaida yake iyo njemba kila siku usiku huwa inaenda kumdownload manzi huyo ambae dishi lake...
 2. princemikazo

  Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa uchunguzi

  Mwili wa aliyekuwa mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri...
 3. princemikazo

  DJ D-ommy anamzidi nini DJ Zero?

  Home boy Omary Said aka DJ D-Ommy, Mr.Washawasha, The International DJ, Jitu nene kutoka Mjengoni Clouds FM the people's Station. Huyu chalii ana tuzo Mbili mkononi za kimataifa alizonyakua hadi sasa kama DJ bora barani Afrika. Pia amekuwa akiburudisha Nje ya nchi kama South Afrika, Marekani...
 4. princemikazo

  Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

  Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza. 10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3 9: Jidenna,Nigeria billion 2.3 8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu) 7...
 5. princemikazo

  Msaada wa maana ya hili neno na matumizi yake

  Wakuu habarini zenu,, Nilikua naomba msaada wa maana ya hili neno "FURTHER"kwa kiswahili na matumizi yake katika Maongezi au sentensi Asanteni
 6. princemikazo

  KWA KIINGEREZA HIKI NIKAOMBE KAZI CNN

  Baada ya Kujifunza lugha ya malkia nimefanikiwa kuiva kabisa,Angalieni navyoongea"You know sometimes circumstance issues,Specimen and Couldn't I speak it?Wouldn't she?Pharmacy me!Wife material"Mmeona sasa?simple as easy namna hiyo,wiki ijayo napanda ndege load to CNN,Dua zenu wakuu nipate ajira
 7. princemikazo

  Mbosso, Whozu na Marioo, hawa chalii watafika mbali sana

  Nikiwa nime chili knich knach maghetoni baada ya kumaliza mbanga za kuuza chai nyuma ya mic, nikawa naorodhesha baadhi ya Machalii waliofanya poa laana kunako mwaka 2018 fiade ya Bongofleva, List angu ilipata majina shazi lakini mojawapo ya majina niliweza kuwapata Wasanii ambao kama ni...
Top