Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa uchunguzi

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
Mwili wa aliyekuwa mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri mdogo,lakini watatu tayari wamejitokeza kuzungumza,mmoja anaitwa Wade Robson alithibitisha kwenye mitandao kuwa toka ana umri wa miaka7 hadi alipofika14.

Mwengine ni James Safechunk.Mwili wa mfalme huyo wa pop utafukuliwa ili kupima vipimo vya DNA kwenye mabaki ya sehemu za mwili wake ili kubaini kama kuna ukweli.

Nilikuwa naomba akikutwa na hatia ahukumiwe miaka 30 iwe fundisho kwa marehemu wengine wenye tabia hii.

@ChaliiYaKijengeJuu
 
Toba... walikuwa wapi kusema kipindi yupo hai kwa kitendo cha kukaa kimya nawenyewe wameshiriki ktk kujilawiti hivyo wagawane hukumu
 
Akikutwa na hatia, baadhi ya hati miliki zake zitauzwa kufidia kesi.
 
Hiyo Avatar ni wewe mkuu?
1549608224322.png
1549608224322.png
1549608224322.png
1549608224322.png
1549608224322.png
1549608224322.png
 
Mwili wa aliekua mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri mdogo,lakini watatu tayari wamejitokeza kuzungumza,mmoja anaitwa Wade Robson alithibitisha kwenye mitandao kuwa toka ana umri wa miaka7 hadi alipofika14.

Mwengine ni James Safechunk.Mwili wa mfalme huyo wa pop utafukuliwa ili kupima vipimo vya DNA Kwenye mabaki ya sehemu za mwili wake ili kubaini kama kuna ukweli. Nilikua naomba akikutwa na hatia ahukumiwe miaka 30 iwe fundisho kwa marehemu
wengine wenye tabia hii,,,
@ChaliiYaKijengeJuu
hivi dna ya michael si wanaweza kuipata kwa ndugu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko dna itabainisha kwamba jamaa alikuwa anapiga mashine

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom