madai

Madai (Hebrew: מָדַי, pronounced [maˈdaj]; Greek: Μηδος, [mɛːˈdos]) is a son of Japheth and one of the 16 grandsons of Noah in the Book of Genesis of the Hebrew Bible. Biblical scholars have generally identified Madai with the Iranian Medes of much later records. The Medes, reckoned to be his offspring by Josephus and most subsequent writers, were also known as Madai, including in both Assyrian and Hebrew sources. Some scholars in more modern times have also proposed connections with various earlier nations, such as Mitanni, Matiene, and Mannai. In addition, the Kurds still maintain traditions of descent from Madai.According to the Book of Jubilees (10:35-36), Madai had married a daughter of Shem, and preferred to live among Shem's descendants, rather than dwell in Japheth's allotted inheritance beyond the Black Sea; so he begged his brothers-in-law, Elam, Asshur and Arphaxad, until he finally received from them the land that was named after him, Media.
Another line in Jubilees (8:5) states that a daughter of Madai named Milcah (Aramaic: Melkâ) married Cainan, who is an ancestor of Abraham also mentioned in the Septuagint version of Genesis and in the Gospel of Luke (3:36).
Medos (Μηδος), and his mother Medea, were also reckoned to be the ancestors of the Medes in classical Greek mythical history. Christian scholars have proposed linking Hebrew Madai and Greek Medos since at least the time of Isidore of Seville [Etym 9.2.28], ca. 600 AD.
Madai is also the name of the deified ancestor of the Kachin people of Myanmar, according to the indigenous Kachin religion.
Also linked with Madai is the Iranian city of Hamadan.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BBC, CNN, VOA au Aljazeera, mumuhoji Erick Kabendera juu ya madai yake kuwa Magufuli alimpiga risasi Ben Saanane

    Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi. Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu ya hongo CHADEMA na maswali tata.

    Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana, 1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali? Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo michezo ambao wasingeacha alama au ushahidi ikiwa wangeweza au hata wangeshindwa kumuhonga Lissu...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara, nifanyeje?

    Wakuu nimepoteza barua ya ajira na inahitajika kwenye madai ya malimbikizo ya mshahara! Nishauri kama unajua kitu Wakuu msaada tafadhari.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kutokulipwa madai ya kuharibiwa bustani

    MADAI YA FIDIA KWA MWEKEZAJI WA MGODI NA. 2 Lubaga, Mkoa wa Simiyu. Kwa nini hawajajitokeza kujibu, Malàlàmiko yangu ya kuhàribiwa bústàñí yàngu niliyoyatoà hivi Karibuní kwenye jukwaa hili nikiwatuhumu AFISA MADINI MKOA wa Simiyu na ÀFISA MTENDAJI wa Katà ya Dutwà kushindwa kufuata maelekezo...
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe hajawahi kung'ang'ania madarakani CHADEMA, madai ya hivi ni upotoshaji wa kisiasa tu.

    Mbowe anaweza kulaumiwa kwa mambo yote lakini jambo moja kubwa ambalo hawezi kulaumiwa nalo ni kung'ang'ania au kukaa madarakani muda mrefu. Lissu mwenyewe ambaye ndiye mpinzani mkuu wa Mbowe katika nafasi ya mwenyeketi kwa sasa na anayetaka ukomo wa kushika madaraka ndani ya CHADEMA uwekwe...
  6. JamiiForums Tanzania JKCI yatoa ufafanuzi madai ya baadhi ya Watumishi wao kutoa huduma kwa kujuana

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums aliyetoa malalamiko yake kuhusu baadhi ya huduma za Watumishi wa hapo. Kusoma zaidi alichoeleza Mdau bofya hapa ~ Tumepata huduma mbovu JKCI upande wa VIP, baadhi ya Watumishi wanahudumia Watu kwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  8. JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Maswali mengi yaibuka baada ya kupotea kwa mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe. Mkewe asimulia kilichotokea. Jeshi La Polisi latoa tamko!

    Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano. Vicent...
  10. JamiiForums Tanzania Apple yafunguliwa Madai ya Tsh. Trilioni 10.19 kwa kulazimisha wateja kutumia huduma za iCloud

    Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imekiuka sheria ya ushindani kwa "kulazimisha matumizi ya huduma zake za iCloud kwa wateja". Inasema...
  11. JamiiForums Tanzania Ni nani Salma Madai, Mtaalamu wa IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae. Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
  12. JamiiForums Tanzania Dr. Dre ashtakiwa kwa madai ya unyanyasaji wa Mwanasaikolojia wake, adaiwa fidia ya Tsh. Bilioni 27.2

    Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na Unyanyasaji aliyekuwa Mshauri na Msuluhishi wa Ndoa yake. Dkt. Charles J. Sophy amedai mwaka 2018, Dre...
  13. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal avunja Bunge kwa madai ya Kuvutana na Mhimili wa Serikali

    Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6 tu tangu Serikali mpya ilipoingia Madarakani huku akieleza Bunge hilo linaloongozwa na upinzani...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia.. Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Madai ya Upendeleo na Rushwa Katika Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Hai

    Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uwazi na haki ndani ya chama cha CHADEMA, mtoto wa Freeman Mbowe, kiongozi wa chama hicho, ameonekana kupendelewa katika uchaguzi wa ndani wa Jimbo la Hai. Taarifa zinadai kwamba viongozi wa juu wa jimbo hilo walihusika moja kwa moja katika kuhakikisha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa serikali imeshindwa kukanusha madai kuwa inawaondoa Wamasai ili ardhi yao apewe Mwarabu

    Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu? Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua. CCM must go!
  18. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo DPP anaweza kuomba kuingia katika kesi yoyote ile ya jinai, Mwanasheria Mkuu pia anaweza kuomba kuingia katika kesi ya madai yoyote ile

    Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali. Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki Ni taarifa tu
  19. JamiiForums Tanzania HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

    Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO Jumanne, Agosti 13, 2024 Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania THRDC yalaani madai kukamatwa viongozi Chadema ,waandishi wa habari

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), umeungana na wadau wengine kulaani madai ya kukamatwa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanahabari wakielekea katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani jijini Mbeya. THRDC imetoa tamko hilo leo Jumatatu, Agosti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…