mada

Mada is a term from both Hindu theology and Hindu mythology. It is one of the Arishadvargas.

View More On Wikipedia.org
  1. Mada ya ki intelejesia: Je ni dini ndani ya uchawi au ni uchawi ndani ya dini?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mshika dini Nimesoma sana dini yangu na dini nyinginezo, zinazomjua Mungu mmoja na zinazoabudu miungu.. Uchawi ama kwa ubaya ama kwa uzuri umetajwa kwenye kila dini niliyosoma Dini kwenye uchawi na ushirikina imetajwa na kuhusishwa sana! Sasa hebu tuone...
  2. Mashauriano ya kiroho: Hifadhi hii mada itakusaidia kwa mengi

    Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote Nitakaribisha na maswali pia 1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
  3. JF imefunguliwa(?) Naipata bila VPN

    Hamjambo wote! 1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu. 2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza. 3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache. 4. Ukosoaji uendelee sambamba na suluhu kwa Kila ukosoaji. Haina maana kukosoa bila kutoa suluhu kwa kile...
  4. H

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  5. Kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini?

    Hivi kupanda kwa ufaulu kitaifa kila mwaka kwa CSEE au ACSEE unaashiria nini? Mada mezani wadau wa elimu?
  6. Mada ya kitimoto: Nyama inayajadiliwa na kutawaka mijadala mingi duniani

    Ni haramu sio haramu? Uharamu wake unatokana na nini? Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali? Je ndio nyama tamu zaidi duniani? Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani? Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi? Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota? Je ni kwanini mganga...
  7. Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

    London. Mkoloni ana njia nyingi za kuwaweka katika mstari ulionyoka. Machief wa Tanganyika ziarani Uingereza 1951.
  8. H

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  9. Kuna mada inasema ukiweza kutoka kwenye sayari,nyota ukatafuta mwisho unaweza usipate na kama umepata mwisho wake umerudi nyuma

    Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia. Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
  10. M

    Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  11. 3. Msomaji bora wa mada JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  12. Uchokozi: Burundi wataka kuichukua Kigoma kutoka Tanzania

    Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya. Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
  13. Kuna mada hapa JF haikupewa kipaumbele ila Kitima alipoeleza mmeelewa

    Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi. Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara...
  14. S

    Haya yanayoendelea nchini kwanini tusiikatae CCM?

    Habari zenu Greate Thinkers, Naomba kutoa wito wa kukataa kusifungua/kuzisoma/kuzitolea maoni mada zote zinazoihusu ccm, kufanya hivi ni njia moja wapo ya kuonesha CCM kwamba hatuwakubali na sera zao. Fikiria wanaendelea na kampeni zao kwa raha zao familia zao lakini wamesahau kwamba sisi...
  15. K

    Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
  16. Kuna mada zinachekesha sana kuonesha kuna kundi wanatumia kubishia vilivyo tengenezewa

    Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia. Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni vya sheatani vilivyomo duniani ila cha kushangaza anayepinga kavaa nguo ambayo ni teknolojia, katumia...
  17. jamii forum kwa nini mumefuta dot tu dot mada yangu

    Wengine tunaweka ID sio kwamba mtufahamu rudisheni huu uzi
  18. Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa:Muendelezo

    Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku. DMZ ni code ya kijasusi
  19. Kama wewe ni mwanachama active wa JF na kuna mada inazungumzwa mahali unapoishi na ukashindwa kuchangia chochote wewe ni sawa na bure

    Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu. Humu...
  20. Mada fikirishi. Je CCM kugawa vitu mbalimbali kwa wananchi kipindi hiki cha kampeni ni rushwa ama si rushwa???

    Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo. Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu?? Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…