Makwa, Gatundu North, Kaunti ya Kiambu, imeingia tena kwenye mjadala wa pombe haramu baada ya mwanaume mmoja kuripotiwa kufariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa mbaya.
Lakini safari hii, si taarifa ya vifo pekee inayovuta hisia. Ni video ya kina mama wakilia kwa uchungu baada ya taarifa...