Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile.
Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako.
Makusudi yako yatafichwa na kukenua kwako ila sio macho yako.
Machungu yako yatafichwa na kuchangamka kwako ila sio...