Naona tuna tumia nguvu kutatua tatizo tulilo lisababisha wenyewe. Sikuzote tunasema vijana wajiajiri, tulitegemea watajiajiri wapi?
Njia rahisi ya kutatua tatizo hili, kwanza nikuwatambua machinga, tuwape nafasi wachague viongozi, wajiorodheshe na tuwape vitambulisho.
Tuwaruhusu wachague eneo...