machachari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dominik Dominik

    Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi. 1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe...
  2. SSH2025_2030

    Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

    Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
  3. Top Gun

    Njiwa kaingia nyumbani na wala haoneshi dalali ya machachari na wala hataki kuondoka

    Sijaona jirani wa karibu kama anafuga njiwa. Saa kumi na moja jioni, Mke wangu amerudi kutoka kusuka , ile anafika nyumbani ndio ikawa imeanza kunyesha, ndio akakukatana na njia ambaye kama amenyong'onyea. Akamasaidia kumtoa katika mvua akamwingiza ndani. Baadae akamtoa nje ila hajaruka na...
  4. mdukuzi

    Wachezaji machachari wa kigeni walioletwa na Yanga na kuishia kucheza vilabu vidogo

    1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo 2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri. 3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne ...inaendelea
  5. The Burning Spear

    Kwanini awamu ya sita haina Waziri machachari?

    Katika awamu zote zilizopita tulishuhudia mawaziri waliojizolea sifa na kukubalika na wananchi zaidi. Kiasi ambacho ilifika mahali wakaonekana tishio kwa wakubwa zao. Mfano tu unaweza kuongezea kama nitakuwa nimesahau. 1. Awamu ya kwanza ni waziri mkuu Moringe sokoine. 2. Awamu ya pili...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    Leo ikiwa ni Alhamisi hebu tuwakumbuke wabunge machachari enzi ya Bunge la Spika Marehemu Samwel Sitta!

    Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta? Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa. Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
  7. Equation x

    Warembo machachari, mpo wapi? Popote pale mlipo, tukutane kiwanjani

    Mida ya kusogelea viwanja unakaribia kufika. Mwanaume bila kuwa na ubavu wake wa kushoto, mapumziko huwa hayaendi vizuri. Mida ya jioni, ndio huwa mida mizuri ya mitoko kwa wanawake pamoja na wanaume; baada ya kutimiza majukumu yao ya wiki nzima; sasa ni muda wa kujifariji baada ya kuutumikisha...
  8. Ngongo

    Mwanasiasa Machachari apata kipigo kikali

    Heshima sana wanajamvi, Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi. Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa. Mwanasiasa huyo machachari kashindwa mara mbili kuripoti katika Hospital ya taifa kwaajili ya...
  9. prince kyextcatted

    Vijana machachari ndani ya CCM

    CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi bali ni kuwa na structure nzuri ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kata lakini pia...
  10. Jerry santonga

    Nataka kumjua aliyekuwa RPC wa Dar kabila lake Mhaya alikuwa machachari sana

    Wakuu leo nimemkumbuka RPC wa Dar es Salaam miaka hiyo huyu mzee alikuwa machachari sana, akikamata silaha utafurahi anavyowasilisha. Dah! Anaitwa nani kwa anayemkumbuka?
Back
Top Bottom