mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sasa hivi mabinti wenye makebo makubwa wanakimbilia Nyamongo. Ni kamji kadogo ila kana matajiri wengi mnoo

    Watu wa Tarime Najua mnaufahamu kamji ka nyamongo, na haswa watu wa kule walivyo na sifa sana Sio Katoro tena, ni Nyamongo
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  4. JamiiForums Tanzania Mabinti Sayuni kuna ujumbe wenu hapa

    Hakyamungu, ndio maana huwa silali kwa watu
  5. JamiiForums Tanzania Mkienda misibani acheni kwenda na sketi ama nguo fupi mabinti kule tunaombeleza jamani..ombi tu

    Jumamosi iliyopita nilienda kuzika msiba mmoja pale ununio Aise nilichokiona sijui n marafiki wa marehemu ama ndugu wa marehemu vibinti miguu kama yangu vimevaa vinguo vifupi kama wako sinza kazini Sasa nkajiuliza hawa wanahuzunika ama ndio popote kambi Dah leo naangalia fb nakutana na msiba...
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi mabinti zenu waliokuja kutafuta maisha Dar hela wanazowatumia wanazipata kwa tabu

    Nimeona hiki kitu leo nikizungumzie kwa sababu kinaniumiza sana. Mimi sehemu ninayo ishi kuna mabinti watano wame panga chumba kimoja, hawa mabinti umri wao ni kuanzia miaka 19 mpaka 25. Kilicho fanya niandike huu ujumbe ni kuwa, hawa mabinti wakiwa wana wasiliana na ndugu zao mkoani wana...
  7. JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kuchoma moto chumba na kusababisha kifo cha mabinti wawili kisa aliachwa na mmoja wapo

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Filbert Philimon (23), mwanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John's kwa tuhuma za kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu wawili, Rebecca James na Felister Peter katika Mtaa wa Kikuyu, Juni 7, 2026. Polisi wamesema mtuhumiwa alikamatwa katika...
  9. JamiiForums Tanzania Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

    Habari waungwana, Leo nilienda saloon moja ambapo sio mbali sana na kilipo chuo kikubwa Cha serikali. Wakati nikiwa hapo nahudumiwa Kuna kabinti akawa ameleta huduma ya mtori na chai Kwa hao wadada wa salon. Basi baada ya yule muhudumu kuondoka ndo hao mabinti wa saluni wakawa wanasema kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Wanawake wa Mlandizi wanachangia wanaume na mabinti zao

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, afande mmoja kutoka Dawati la Jinsia ameonekana akitoa nasaha kwa wanawake wa Mlandizi huku akiwashangaa kwa vitendo vyao vya ajabu wanavyofanya mbele za watoto wao. Wanawake hao, ambao ni wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali wilayani humo...
  11. JamiiForums Tanzania Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

    Hiki kizazi aisee kina mengi. Binti kaumwa kazidiwa kumbe ni pumu, purukushani za kutafuta dawa zake zikaanza, kufungua huku na kule mara paah kimfuko kizuri kama vile vya wanavyowekewa wakienda kununua vitu kwenye maduka makubwa ya fashion wacha kidodoke. Kijimfuko kilikua na madubuwana...
  12. JamiiForums Tanzania Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Salam sio kipaumbele sana. Kiukweli hawa mabinti wanastahajabisha sana, eti unamleta ghetto ambalo maji yapo ya kutosha tu, lakini unamchimba vilivyo, mwisho unamuonesha bafuni akatoe vumbi ili andoke vizuri yeye anabinua mabega juu kuashiria hayuko tayari kwenda kuoga!, sasa najiuliza hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  14. JamiiForums Tanzania Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa

    Kila nikiwaza, huwa nachanganyikiwa. Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa. Ni pale ninapofikiria ahadi za baadhi ya pepo. Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe. Swali langu ni moja na rahisi. Je, wale wasiojiweza kingono, watafanyaje? Je, hii kitu ni kweli...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Mabinti waambiwe ukweli serikali haitakuwa na muda wa kushughulikia ujinga na uzembe wao watakapozalishwa na wanaume wapenda uzinzi. Hasa mabinti mask

    MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba 1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

    Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya. https://x.com/i/status/2037994015094714505 My Take Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Wababa mnao wabikiri mabinti zenu wangali wadogo mnatukosea sana

    Ndugu zangu. Imekua ngumu sana kwa sisi wachakataji kupata msicha bikira ulimwenguni hapa. Pia ni hivyo hivyo ngumu kwa waoaji kuoa binti bikira, unakuta msichana alibikiriwa na baba yake ingali akiwa mdogo sana ndugu zangu. Hili jambo linaleta simanzi sana kwa kweli na mnatukosea sana nyie...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti kutoka familia tajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi challenge za kutingisha makalio mitandaoni?

    Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera. Tunaweza tukasema ni burudani tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…