Kwa mabilioni yaliyokopwa na taifa kupitia CCM, tulipaswa kuona maendeleo ya dhahiri: barabara za kisasa, reli imara, hospitali zenye vifaa vya kisasa, elimu inclusive bila kero, na ajira sustainable kwa vijana. Hizo fedha zingeweza kubadilisha kabisa standard of living ya mwananchi wa kawaida...